Mbona Wamekomaa Kwa Ktk Kulinda Kura Tu!! Mbona Huku Mikoa Ya KANDA YA ZIWA KAMPENI Za Magufuli Anaongea Kisukuma Na Hivi Sasa Na Charles Kitwanga Naye Anakoroga Kisuwykuma!! Hata Tumeshindwa KUELEWA!! Hivyo Tunasepa Tu!! Ohoo Kumbe Bado Show Ya Fiesta!! Ngoja Tuione Ya Funga Mkutano!!
Nenda kwenu Dongobeshi,unatafuta nini Kanda ya ziwa, si mnataka serikali za majimbo?
Nafikiri mahakamani wanatafuta tafsiri tu na siyo kutengua sheria!Hili suala si liko mahakamani mbona Mh Jaji anavunja kanuni za kimahakama?
Tume ikiwa haiko huru matatizo yake ni haya , Vipi timu moja kati ya hizo mbili iloko kwenye league ichague rifa wake halafu tuweze kumkubali ? lazima kutakua na upendeleo , haya yote na hayo yatakayo jiri au kutokea Masi JK na mkuu wa tume ndie mwenye kubeba lawama wa kwanza.
Nafikiri mahakamani wanatafuta tafsiri tu na siyo kutengua sheria!