NEC Yakemea Mikusanyiko Kulinda Kura

NEC Yakemea Mikusanyiko Kulinda Kura

Hivi una akili za wapi ulinde kura mataa shekilango kituo kipo mwenge huu ni uenda wazimu
 
mita kama 10 kutoka kituo changu kilipo kuna bar tumeamua kwenda kujiburudisha na ndovu za baridi siku ya jumapili huku tukilinda kura zetu.

Kwani tume inakataza watu kukusanyika kwenye bar siku ya uchaguzi??
 
Back
Top Bottom