Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
lipumba alipeleka barua maalim akaitia kinindoni na kuogopa kuipeleka kwenye mkutano mkuu.Hii kitu inakwenda faster, na Lipumba anapeleka majina mapya leo leo. Sijajua mpaka sasa why Lipumba anakubalika kama mwenyekiti, au kipindi kile alipoondoka kwenye katiba ya CUF huko kwenye ma documents aliendelea kuwa mwenyekiti ? Na wao walitakiwa wamreplace onspot.
Serikali inahusikaje?Huwezi mpambanisha lipumba na Kubenea halafu utegemee kubenea ashinde.Kwangu mm hii awamu ya tano ni awamu inayoendesha siasa chafu za wazi dhidi ya wapinzani.
acha unafiki wewe mambo ya cuf yanakuhusu nini na umeyajuajelipumba alipeleka barua maalim akaitia kinindoni na kuogopa kuipeleka kwenye mkutano mkuu.
na ni awamu pekee tangu uhuru inayoomba iombewe ombewe.Kwangu mm hii awamu ya tano ni awamu inayoendesha siasa chafu za wazi dhidi ya wapinzani.
Ha ha ha kina Maalim walifanya uzembe.Hii kitu inakwenda faster, na Lipumba anapeleka majina mapya leo leo. Sijajua mpaka sasa why Lipumba anakubalika kama mwenyekiti, au kipindi kile alipoondoka kwenye katiba ya CUF huko kwenye ma documents aliendelea kuwa mwenyekiti ? Na wao walitakiwa wamreplace onspot.
Kosa kubwa na linawagharimu sana.lipumba alipeleka barua maalim akaitia kinindoni na kuogopa kuipeleka kwenye mkutano mkuu.
mbaya zaidi wanafanya waziwazi kiasi kila mtanzania anajua mchezo huu unavyochezwa. dhambi kama hizi huwa hazisameheki hata uombewe kiasi gani.Yaani ni dharihi wanaomtumia lipumba wanajionyesha