Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,668
- 5,123
Una shida ya kiakili au msongo wa mawazo.Tume ya Chebukati ni buure kabisa mkuu aheri hata ya tume yetu hii ya kuteuliwa na raisi aliye madarakani
Una shida ya kiakili au msongo wa mawazo.Tume ya Chebukati ni buure kabisa mkuu aheri hata ya tume yetu hii ya kuteuliwa na raisi aliye madarakani
Huyu jamaa ni mpumbavu sana.
Duhh mkuu unahasira kweli kumbe nndio maana wanalinda kabariNatafuta jina sahihi la kumuita Magu lakini silipati.
Huko aliko anyongwe hadi afe
Masuala ya uchaguzi hayawezi kukosa dosari. Kila Tume ina mahali imekuwa bora katika utendaji na kwa namna fulani ilipata changamoto. Tukiangalia mfano mmoja tu, Mgombea Urais anaenda kituoni halafu jina lake halipo katika mfumo kwa Tanzania ingekuwa nongwa kubwa. naiona fifty fifty tu!Kwa wale mlioshiriki Uchaguzi wa 2020 hapa nyumbani Tanzania na leo mmefuatilia Uchaguzi wa Kenya
Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Mtu kazi.. hahahaha
Kaburi lake lipigwe maweNatafuta jina sahihi la kumuita Magu lakini silipati.
Huko aliko anyongwe hadi afe
Ni aibu tupuWalau wenzetu wana uchaguzi - sisi tuna uchafuzi.
Yuko Kenya kama mwangalizi
Jamaa huyu namchukia kiukweli..... Kuliko hata aliyekuwa akimtuma. Sijui kwa nini....!!
Mkuu acha kulinganisha Big mind(Kenya) na average mind(Tanzania).Taifa la watu wanaokiheshimu chama kuliko nchi ukalinganishe na watu wanaoheshimu nchi kuliko chama.Kwa wale mlioshiriki Uchaguzi wa 2020 hapa nyumbani Tanzania na leo mmefuatilia Uchaguzi wa Kenya
Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Natafuta jina sahihi la kumuita Magu lakini silipati.
Huko aliko anyongwe hadi afe
Taifa la mazuzu, ndiyo mzee, zidumu fikra za mwenyeketi,Mkuu acha kulinganisha Big mind(Kenya) na average mind(Tanzania).Taifa la watu wanaokiheshimu chama kuliko nchi ukalinganishe na watu wanaoheshimu nchi kuliko chama.
🤣🤣🤣Taifa la mazuzu, ndiyo mzee, zidumu fikra za mwenyeketi,
Mm nikwambie ndugu yangu nchi hii Ina wasomi wengi kama tutaendelea kuongozwa na serikali ambazo wananchi hatuzichagui na tukaendelea kuzivumilia kama hz za kina mama Samia Basi ule usemi ambao mzee Jommo Kenyatta alimwambia Mwl.Nyerere kwamba anaongoza WAFU utakuwa wa kweli.Ni bora sasa kama tutakwenda kwenye uchaguzi bila tume huru Basi ni bora kukaa nyumbani kuliko kujifanya umekuwa tahira kwa kwenda kwenye uchaguzi wa kipumbafu usio na maana yoyote kwa maendeleo,yaani mtu anahimiza Sensa alafu suala dogo tu la MAFUTA limemshinda hv kiongozi kama hiyo anaweza nn hata akijua Idadi ya watu wake.Kwa wale mlioshiriki Uchaguzi wa 2020 hapa nyumbani Tanzania na leo mmefuatilia Uchaguzi wa Kenya
Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Kwa wale mlioshiriki Uchaguzi wa 2020 hapa nyumbani Tanzania na leo mmefuatilia Uchaguzi wa Kenya
Je, kuna haja ya Tanzania kupigania Tume Huru ya Uchaguzi au tuendelee tu na NEC yetu?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote
Mawazo Yako Kwa mazingira Yako 🤔Tume ya Chebukati ni buure kabisa mkuu aheri hata ya tume yetu hii ya kuteuliwa na raisi aliye madarakani