Mara zote wanaingiliwa katika maamuzi ila safari hii hawataingiliwa, tunashukuru sana NEC kwa kutoa siri tumewasamehe lakini hatutawasahau.inamaanisha igunga kila aliykuwa anashinda alikuwa anashinda kimagumashi lakini safari hii wanataka mshindi awe ameshinda kihalali.na huu ni mwanzo mzuri kuelekea 2015.somo alilotoa mwana mama wa zambia naona limeanza kueleweka.mia
Kumbe aliyekuwa anatuharibia NEC yetu ni Lewis Makame !!!!!!!!!!!!!!!
Kwa CCM hizo ni ndoto, hata lile lizee lililostaafu lilisema hivyo hivyo wakati wa uchaguzi wa Octoba 2010, lakini kilichokuja kutokea nadhani jibu unalo, bila aibu walichakachua hadi kura za RAISI Dr. Slaa. Rushwa waliopokea iliwafanya wawetayari hata kama watanzania wangechinjana kama KUKU wao kwao ilikuwa ni sawa tu. Limebaki jinga moja hapo kwenye tume ya Taifa ya uchaguzi sijui litastaafu lini. Pumbafu kabisa. Pinda ndiye amepangwa kuwa kinara wa uchakachuaji wa kura huko Igunga. Ila iko siku kitaeleweka tu.Mara zote wanaingiliwa katika maamuzi ila safari hii hawataingiliwa, tunashukuru sana NEC kwa kutoa siri tumewasamehe lakini hatutawasahau.
Hili nalo linatia mashaka lakini hii inatokana na baadhi ya vyama kulalamikia tume hii juu ya utendaji wake kazi kuwa ni kibabaishaji na umekuwa ukiingiliwa na wanasiasa hususani chama tawala. Yetu macho.Mara zote wanaingiliwa katika maamuzi ila safari hii hawataingiliwa, tunashukuru sana NEC kwa kutoa siri tumewasamehe lakini hatutawasahau.