NEC-Kamati kuu CCM kuwapa fursa vijana - maoni yangu!

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Nilifurahishwa na kauli ya nec makao makuu kwamba wanaweka kipaombele kwa vijana kiuongozi!nimepata mashaka na kauli hii kwani inaonekana kuwa kiini macho kwa watz!nabaki na maswali ambayo labda wana jf mlio na uelewa mnaweza nijibu!
1.hivi t'zo ndani ya serikali ya ccm ni wazee?mbona hakuna mzee aliewahi kubainishwa ndani ya chama kama ni mzembe?
2.mbona wazee wale watuhumiwa wa ufisadi wameendelea kuachwa kwenye chama?(lowasa et al)
3.mbona wengi waliopitishwa ni either watoto wa viongozi/kutoka koo za viongozi?
4.mbona vijana wengi bado wanatajwa kwenye kashfa za ufisadi?(ngeleja,maige et al)
TATIZO KUBWA NI CCM YENYEWE!THERE'S NO WAY TO MAKE IT CLEAN!IT SHOULD THEREFORE GO!
 
Kwanza hao vijana wenyewe ndiyo kama yule mtoto kibonge wa malecela mwenye miaka 51??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hao vijana huko ccm nawafananisha na Nyumbu mbugani, hawawezi kupambana hata na fisi pamoja na kuwa wengi kuliko wanyama wengine.
 
Ni vijana kwa vile hawajawahi kushika nafasi hizo tangu wazaliwe hata kama wana miaka 50...., wengi wao ndiyo kwanza wanaanza kusikika, kwao wao wanaona ni vijana. Taabu kwelikweli!!!
 
Nilifurahishwa na kauli ya nec makao makuu kwamba wanaweka kipaombele kwa vijana kiuongozi!nimepata mashaka na kauli hii kwani inaonekana kuwa kiini macho kwa watz!nabaki na maswali ambayo labda wana jf mlio na uelewa mnaweza nijibu!
1.hivi t'zo ndani ya serikali ya ccm ni wazee?mbona hakuna mzee aliewahi kubainishwa ndani ya chama kama ni mzembe?
2.mbona wazee wale watuhumiwa wa ufisadi wameendelea kuachwa kwenye chama?(lowasa et al)
3.mbona wengi waliopitishwa ni either watoto wa viongozi/kutoka koo za viongozi?
4.mbona vijana wengi bado wanatajwa kwenye kashfa za ufisadi?(ngeleja,maige et al)
TATIZO KUBWA NI CCM YENYEWE!THERE'S NO WAY TO MAKE IT CLEAN!IT SHOULD THEREFORE GO!

Sisi sote ni ndugu na wmoja tatizo ni ccm
 
Back
Top Bottom