Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Jamani NEC hawakuchakachua kitu! walikosea tu kuandika hayo majina ya vyama, sehemu ya Chadema inatakiwa iwe CCM na sehemu ya CCM inatakiwa iwe Chadema.
tangu matokeo ya uchaguzi mkuu 2010 yatangazwe, kiukweli nimekuwa sceptical all along na zile allegations kuwa eti matokeo yaliyachakachuliwa in favour of CCM.
nimesoma article moja kwenye raia mwema la leo inayoonyesha kuwa kwenye jimbo la Tumbe kule Pemba eti CDM walishinda kwa 83%, CCM 9% na CUF 1%. nimekwenda kwenye web site ya NEC nikayakuta haya matokeo yamebandikwa hapo (The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage).
sasa nimeamini!
something needs to be done. don't know what/how though.....
Napenda nikubaliane nawewe kama utanihakikishia kwamba NEC kwa kukosea kwao huko Ukenyenge, matokeo ya CDM wa kapewa CCM and viseversa, kwamba hiyo imetokea tu kwenye jimbo moja na si kwenye majimbo mengine. Na kama ni hivyo basi walikuwa wanakosea, tutaaminije kwamba katika kukosea huko huko, Idadi ya kura za Dr. Kapewa dr.dr.dr?!Jamani NEC hawakuchakachua kitu! walikosea tu kuandika hayo majina ya vyama, sehemu ya Chadema inatakiwa iwe CCM na sehemu ya CCM inatakiwa iwe Chadema.
Habar hii imenikumbusha mbaaaali sana. Enzi hizo wakti nasoma sekondari. Nakumbuka kulikuwa na mechi za mashindano ya mpira wa kikapu baina ya Tambaza na Forodhani kwenye viwanja vya Gymkhana. Kumbuka hiyo sio tambaza ya leo. Hiyo ni Tambaza ya Head master Mzee Kalumuna. Na Forodhani ya Mama Kamsin, Azania ya Kisamo, Jangwani ya Tegisa. n.k
Nakumbuka mechi ilikuwa kali sana na ktk robo ya mwisho kuna mtu alitamka maneno kama hayo hapo juu japo alitumia lugha nyingine.
Mgongo wa Chadema kujipenyeza mpaka pemba kupitia waandishi makanjanja. Haya sie yetu macho. Lakin mnakumbuka kura za maruhani? kazi kwenu.
Jiandaeni jimbo la wawi basi tuwaone.
[/FONT]
Jamani NEC hawakuchakachua kitu! walikosea tu kuandika hayo majina ya vyama, sehemu ya Chadema inatakiwa iwe CCM na sehemu ya CCM inatakiwa iwe Chadema.
ukiangalia kwenye website ya BUNGE, Mbunge aliyepo ni wa CUF hivyo argument yako hai hold. tunategemea NEC wa swap kwa favour ya CCM inayoshika hatamu mimi naona inachanganya ndiyo maana tungeweza ku argu kutokana na kura zilizobandikwa vituoni na kwa mawakala wa Tumbe ndiyo tulinganishe na za NEC. kama kuna mawasiliano na wanachadema wa Tumbe wangetutoa katika wingu hilisuala si kwamba chadema alishinda au la. issue is manipulation and infrigement of the actual data!
hii site ina-confirm dhahiri kuwa kulikuwa na manipulation ya results and in the process kukafanyika hili kosa - ambalo limefungua pandora box!
hii kama ni accidental results swapping, vipi zile intended zilikuwa ngapi?
the bottom line is the results do not bear any credibility after this, not anymore!
Inabidi tuingie kwenye mfumo wa ki-elektroniki labda utapunguza uchakachuaji, kwani kukiwa na mfumo unapiga kura na matokeo yanatoka moja kwa moja pasipo kusubiri itakuwa vigumu kuchakachua japo kwa bongo usishangae kusikia imewezekana..
huyo HAMAD OMAR KOMBO wa CDM yuko wapi? kwa sababu kama NEC imetoa matokeo hivyo yeye na wasimamizi na viongozi wa huko Zanzibar walikuwa wapi/wako wapi? mimi nafikiri watu wa kuwalaumu si NEC bali ni viongozi wa CDM walioshindwa kusimamia kura ili kiongozi wao atangazwe.
aliyechakachua ni nani? CUF? CCM? kama ni NEC hawange publish hivyo I think.
Mbunge aliyepo ni Rashid Ali Abdallah wa CUF. I think there is a problem somewhere kwani hata CCM hawangekubali
Unaongea mambo too hypothetical, kutokana na muundo wa tume (NEC) na katiba yetu, mawakala wana ubavu wa kulinda kura za ubunge na u-diwani TU, mawakala hawana ubavu wa kulinda kura za u-Rais. NEC ni Mungu mtu inaweza kutangaza matokea ya kura za u-Rais bila hata kuyapata kutoka majimboni.
Huu ndio ukweli mchungu!
How is this possible, on their official website?
Utilising taxpayers money, only to make stupid mistake?????
I cannot believe this!
We Tanzanians, when are we going to be serious?????
Napenda nikubaliane nawewe kama utanihakikishia kwamba NEC kwa kukosea kwao huko Ukenyenge, matokeo ya CDM wa kapewa CCM and viseversa, kwamba hiyo imetokea tu kwenye jimbo moja na si kwenye majimbo mengine. Na kama ni hivyo basi walikuwa wanakosea, tutaaminije kwamba katika kukosea huko huko, Idadi ya kura za Dr. Kapewa dr.dr.dr?!
ukiangalia kwenye website ya BUNGE, Mbunge aliyepo ni wa CUF hivyo argument yako hai hold. tunategemea NEC wa swap kwa favour ya CCM inayoshika hatamu mimi naona inachanganya ndiyo maana tungeweza ku argu kutokana na kura zilizobandikwa vituoni na kwa mawakala wa Tumbe ndiyo tulinganishe na za NEC. kama kuna mawasiliano na wanachadema wa Tumbe wangetutoa katika wingu hili
otherwise bado kuna utatanishi wa hizo kura za CDM kupatikana kule Pemba
kwa mtazamo wa kawaida Chadema hawewezi kupata 83% pemba na Cuf 1% labda CDm nao wawe wamejiingiza kwenye huu mtindo wa kuchakachua.