NEC, hili ni bao la mkono?

NEC, hili ni bao la mkono?

Baada ya kutoa idadi ya vituo sasa tupatieni majina ya vituo hivyo, Tume tumieni website yenu vizuru kuweka taarifa kama hizi, au hamna utaalamu?
 
Sijui kama nimeelewa ,nilivyofahamu kama kituo kimeandikisha watu mia saba inamaana hapo kutakuwa na vituo viwili kama watu 1001 hapo kutakuwa na vituo vitatu ,ya kwamba kila kituo hakitazidi au kila sanduku halitaingia kura zaidi ya mia tano ,niliona kama kaufafanuzi kakisema 450 mpaka 500 na watakapozidi wapiga kura wagaiwe katika makundi yalio sawa ,,,!

,Suali langu kuu ambalo ndio nionapo kiini cha wizi utakapoanzia ni makundi hayo yatagaiwa lini ? Na nani atakwenda kituo gani au huo ugavi utafanyika lini ? Unaweza ukaenda huku ukaambiwa nenda kule ukienda kule wanakwambia humu humo kaangalie kule. Lubuma anawaweka wapiga kura katika kuhangaika.
 
Ndugu,

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani- amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya vituo vya wapiga kura kote nchini. Katika ufafanuzi huo amefafanua mambo makuu Mawili.

-

1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na

-

2. Namna SAHIHI- ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo.

i). KUTUO HAKITAZIDI WATU 450

ii). KITUO KINAWEZA KUWA NA IDADI CHINI YA WATU 450

ILI WATU WALIOJIANDIKISHA KITUO KIMOJA WASIHAMISHWE KWENDA KUJAZIA ENEO JINGINE.

-

Itakuwa hivi.

Endapo kuna eneo ambalo watu waliojiandikisha ni 1900 Tume ya taifa ya uchaguzi itagawanya watu kama ifuatavyo:-

450+450+450 = 1300

1900-1300 = 550

550 gawanya kwa 2 = 275

-

KWA HIYO MAHALI PENYE WAPIGA KURA 1900

PATAKUWA NA VITUO VITANO (5)

-

1. KITUO CHA KWANZA WATU 450

2. KITUO CHA PILI WATU---------- 450

3. KITUO CHA TATU WATU------- 450

4. KITUO CHA NNE WATU--------- 275

5. KITUO CHA TANO WATU------ 275

JUMLA------------------------------------------- 1900

-

ZINGATIA

Kutokana na kuwepo kwa vituo vyenye idadi ya watu chini ya 450 kumefanya idadi ya vituo iwe kubwa.


--
HAKIKI KADI YA MPIGA KURA
http://voters.nec.go.tz:8081/vote
SMS
+255(0)772 55 55 53
LISTEN LIVE
Focus Radio Tz
Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Tanzania
YOUTUBE / TV
http://bitly.com/1Leujup
VIPINDI VYA REDIO
TUME_YA_TAIFA_YA_UCHAGUZI - Music - HulkShare
FACEBOOK
http://bitly.com/1zIiIkq
TWITTER
http://bit.ly/1678Vq2
BLOG
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TANZANIA -
WEBSITE
Mwanzo ::Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Uchambuzi murua.
 
Back
Top Bottom