NEC, hili ni bao la mkono?

NEC, hili ni bao la mkono?

Na hii ndio kete ya mwisho katika bao la mkono, kuweka vituo hewa....
 
mkuu ulicho kiongea ni ukweli 100% wakileta ujinga nina uhakika watu hawatakubali na siku hali ya hewa ikichafuka TANZANIA UTULIFU HAUTA PATIKANA TENA DAWA YA HII NGUVU UMMA NI NDOGO NI KUIPA KITU INACHO TAKA VINGINEVYO POLISI WALA WANAJESHI HAWATAWEZA KUTULIZA MATHARA YA HII NGUVU !!

Wapendwa, mhhh..!! Angalieni maneno yenu...
 
Katika magazeti ya leo Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) amenukuliwa akisema kuwa:
1. jumla ya vituo vya kupigia kura ni 64,736
2. Kila kituo kitakuwa na wapigakura 450.
3. jumla ya wapiga kura waliothibitishwa ni 23,254,485 (22,751,292 (Bara), 503,193 (Zanzibar)

Ukokotoaji:
1. jumla ya wapiga kura (23,254,485) ugawe kwa idadi ya wapiga kura kila kituo (450) = 51,677
Hii ina maana kwamba, vituo vilivyohitajika kupigia kura ni 51,677 tu na sio 64,736. hii ina maana kuna nyongeza ya vituo 13,059. HIVI NI VITUO 'HEWA'? vya nini na kwa faida ya nani?

2. Ikiwa kila kituo ni watu 450 na vituo hewa ni 13,059, hii ina maana kuwa jumla ya wapiga kura katika 'hewa' (Maruhani) ni 450x13,059 = 5,876,555. Maruhani karibu milioni 6 watapiga kura! wanatoka wapi? nani atawaleta? kwa faida ya nai? je tume inawahitaji hawa?

3. Kwa idadi ya vituo 64,736 na wapiga kura 23,254,485, maana yake ni kuwa kila kituo kinapaswa kuwa na watu 360 tu, na sio 450 kama tume inavyotueleza.(chukua idadi ya wapiga kura ugawe kwa idadi ya vituo vya kupigia kura vya NEC - 450). hII INA MAANA KUWA kwa kila kituo kutakuwa na nyongeza ya watu (Maruhani) 90 (450-360). tunajiuliza, hawa wameongezwa kwa faida ya nani?

4. Ikiwa idadi ya vituo ni 64,736 na kila kituo wapiga kura 450, hii ni sawa sawa na idadi ya wapiga kura 29,131,200 (64,736x450). maana yake ni kuwa wapiga kura waliozidi (kutoka 23,254,485) ni 5,876,715.

NB: Tume itoe maelezo ya kina na watuambie wametumia 'calculation' za mtaala wa hesabu wa nchi gani ambao ni tofauti kabisa na huu wa kwetu?

Mwl. D. Kitwana
TUDARCo.

Punguza wasi wasi hakuna vituo hewa hapo! Kila kituo kinatakiwa kutozidi wapiga Kura 450 na sio lazima wawe 450 na pia kituo kimoja kinaweza kugaiwa mara mbili ili kupunguza msongamano!
 
Ufafanuzi wa kuaminika unahitajika katika hili. Lubuva waondoe watu na shaka ya bao la mkono. Tunaomba uwazi katika hili. La sivyo yatakugeukia wewe mwisho wa siku. ICC iko mlangoni kusikilizia bao la mkono.

mhesabu kwenye vituo vyenu hamwezi andamaneni sasa
 
Mi binafsi sina wasiwasi na uchakachuaji kwa njia ya vituo hewa vya kupigia kura. Hiyo idadi ya wapiga kura 450 kwa kila kituo ni maximum number ya wapiga kura kwa kila kituo lakini kuna vituo vingine vitakuwa na watu wachache kuliko hiyo idadi. Hata wakati wa uandikishwaji ktk daftari la wapiga kura baadhi ya vituo vilikuwa na watu wengi na vingine watu wachahe.

Suala la kuwa na vituo hewa linadhibitika kiurahisi sana kuliko inavyodhaniwa. Kila chama kiandae mawakala kulingana na idadi ya vituo. Na kwa vile list ya vituo (majina ya vituo) yanajulikana basi kama kituo hicho hakitakuwepo kwenye list automatically kitakuwa feki. Au kama kituo kipo kwenye list lakini haiko mahali popote then mawakala waripoti kwenye vyama vyao ili hatua zichukuliwe mapema.
Upo sahihi Mkuu kuwa idadi ya watu 450 ni maximum, ndio inasababisha idadi ya vituo kuwa zaidi. Kitu ambacho cha muhimu ni TUME kurelease daftari la wapiga kura kwaajili ya uhakiki.
 
kaka matokeo ya kura za urais hayapingwi mahakamani!Lazima hili suala kabla ya uchaguzi tujue moja
 
Mleta Mada ni Kilaza wa kutupa. Hivi unataka kuniambia waliojiandikisha wote watapiga kura? Je, ikitokea kila kituo wasifikie 450 mtalalamika pia? na je kila sehemu ya kujiandikisha ilipata wastani sawa wa watu 450 kutengeneza jumla kuu? Hangaikeni tu, mkileta fujo tunawacharaza. Hatuwezi iacha nchi iharibike kwa Ulo.fa wenu wa kufikiri.
 
spea mkononi, Wewe ndiye unayeleta ushabiki. Uhalisia ndiyo huo. Nimesema yangu macho na masikio baada ya 25/10/2015.
Bao la mkono refa akilikubali nalo linaipa ushindi timu husika. lakini kuanzia hapo imani inapotea na kwa suala kama uchaguzi, amani unayoongelea itasambaratika> Kuna mama mmoja aliongea kwenye malumbano ya hoja ITV alisema siku hizi watu "wamesamparatana!", sijui maana yake nini, lakini kuna hatari watu kusamparatana zaidi na zaidi kama bao la mkono likubarikiwa na refa NEC
 
Wewe kwa akili zako mbaya ndio unataka kuleta uvunjifu wa amani kwa kumtaja mgombea wako kushinda kabla ya kupiga kura!

Kwa akili zako na ndiyo maana mnang'ang'ania bao la mkono ambalo ni wazo dhahania na linapigiwa chapuo na watu wasiojiamini wa wanasukumwa na mashaka yaliyojaa mioyoni mwao.
 
Bao la mkono refa akilikubali nalo linaipa ushindi timu husika. lakini kuanzia hapo imani inapotea na kwa suala kama uchaguzi, amani unayoongelea itasambaratika> Kuna mama mmoja aliongea kwenye malumbano ya hoja ITV alisema siku hizi watu "wamesamparatana!", sijui maana yake nini, lakini kuna hatari watu kusamparatana zaidi na zaidi kama bao la mkono likubarikiwa na refa NEC

Kama ni wafuatiliaji wa msuala ya Uchaguzi, issue hii ya bao la mkono iliulizwa pia na Dkt. Emmanuel Makaidi wa NLD pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dtk. W. Silaa wakati NEC na Vyama vya siasa walipokuwa wakijadili na kuandaa kanuni za uchaguzi wa mwaka huu.

NEC walisema kuwa wao hawana kitu kama hicho ni wanasiasa tuu wamejijengea dhana hiyo potofu.

Kwa mantiki hiyo huo ni woga na wanaoshadadia neno hilo ni wale ambao wanajua mwanzo na mwisho wao ni upi, wanatafuta sababu tu ili kujitetea kwa watu waliowaaminisha mwaka huu ni wao. Kajipangaeni bw. acheni kutuvuruga na mabao yenu.
 
dumelang, kama wewe hauna uvumilivu basi baada ya kupiga kura kaa mita 100 kwenye kituo.
 
Wapendwa, mhhh..!! Angalieni maneno yenu...
mkuu mtu haitajiki kuwa na akili kubwa sana ndiyo ajuwe madhara ya dhuluma yoyote ya wizi wa kura mwaka huu kuwa yataleta maafa makubwa
 
Wadau leo asubuhi (13.10.2015) kwenye luninga moja nimeona tangazo/hotuba la mgombea urais akijinadi huku ukitumika wimbo wa taifa (background soundtrack) kwa ala. Ni kama vile mgombea huyu tayari kishajiamulia kuwa ni Rais! Nimeona pia kitambo sasa mgombea akitumia "mwenge" kwenye mabango, vipeperushi n.k.
Kwa maoni yangu hizi ni alama za utambulisho wa taifa na umoja wetu kama watanzania. Si jambo jema mwenge na wimbo wa taifa kuhodhiwa na chama au mgombea mmoja. Inashangaza kuona vyama vingine vya siasa, msajiri, TCRA, tume ya uchaguzi n.k. hawakemei matumizi haya. Au wamesalimu amri?

Je? hali itakuwaje kila mgombea hata madiwani na wabunge wakizitumia alama hizi? si itakuwa vurugu na thamani yake kuchuja? Jamani hebu tuziachie alama hizi maana na heshima zake. Kama mgombea au chama waanajiona wao ndiyo bora wasubiri tare 25.10. Aren't these signs of blatant impunity which can only be checked through formulation of a new constitution wherein the level playing field would be enshrined?
 
Hizo ni alama za taifa kila mtanzania anaruhusiwa kuzitumia popote pale ili mradi tu havunji sheria
 
Mi binafsi sina wasiwasi na uchakachuaji kwa njia ya vituo hewa vya kupigia kura. Hiyo idadi ya wapiga kura 450 kwa kila kituo ni maximum number ya wapiga kura kwa kila kituo lakini kuna vituo vingine vitakuwa na watu wachache kuliko hiyo idadi. Hata wakati wa uandikishwaji ktk daftari la wapiga kura baadhi ya vituo vilikuwa na watu wengi na vingine watu wachahe.

Suala la kuwa na vituo hewa linadhibitika kiurahisi sana kuliko inavyodhaniwa. Kila chama kiandae mawakala kulingana na idadi ya vituo. Na kwa vile list ya vituo (majina ya vituo) yanajulikana basi kama kituo hicho hakitakuwepo kwenye list automatically kitakuwa feki. Au kama kituo kipo kwenye list lakini haiko mahali popote then mawakala waripoti kwenye vyama vyao ili hatua zichukuliwe mapema.

mkuu mimi pia nilikuwa na wazo kama lako,ila nimestuka kidogo!,kama 450 ni makadirio ya juu ya idadi ya wapiga kura ktk kituo kimoja basi tulitegemea ukichukua jumla ya wapiga kura mil 22,, gawanya kwa 450 basi upate vituo km 64,000 hivyo vya tume ila inakuja kama 51,000 ivi !...,kwann?,,,
 
Bao la mkono refa akilikubali nalo linaipa ushindi timu husika. lakini kuanzia hapo imani inapotea na kwa suala kama uchaguzi, amani unayoongelea itasambaratika> Kuna mama mmoja aliongea kwenye malumbano ya hoja ITV alisema siku hizi watu "wamesamparatana!", sijui maana yake nini, lakini kuna hatari watu kusamparatana zaidi na zaidi kama bao la mkono likubarikiwa na refa NEC

Kama ni wafuatiliaji wa msuala ya Uchaguzi, issue hii ya bao la mkono iliulizwa pia na Dkt. Emmanuel Makaidi wa NLD pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dtk. W. Silaa wakati NEC na Vyama vya siasa walipokuwa wakijadili na kuandaa kanuni za uchaguzi wa mwaka huu.

NEC walisema kuwa wao hawana kitu kama hicho ni wanasiasa tuu wamejijengea dhana hiyo potofu.

Kwa mantiki hiyo huo ni woga na wanaoshadadia neno hilo ni wale ambao wanajua mwanzo na mwisho wao ni upi, wanatafuta sababu tu ili kujitetea kwa watu waliowaaminisha mwaka huu ni wao. Kajipangaeni bw. acheni kutuvuruga na mabao yenu.
 
Upo sahihi Mkuu kuwa idadi ya watu 450 ni maximum, ndio inasababisha idadi ya vituo kuwa zaidi. Kitu ambacho cha muhimu ni TUME kurelease daftari la wapiga kura kwaajili ya uhakiki.

kama 450 ni maximam mkuu basi ilibidi vituo viwe kama elfu 51 ujue
 
Mi binafsi sina wasiwasi na uchakachuaji kwa njia ya vituo hewa vya kupigia kura. Hiyo idadi ya wapiga kura 450 kwa kila kituo ni maximum number ya wapiga kura kwa kila kituo lakini kuna vituo vingine vitakuwa na watu wachache kuliko hiyo idadi. Hata wakati wa uandikishwaji ktk daftari la wapiga kura baadhi ya vituo vilikuwa na watu wengi na vingine watu wachahe.

Suala la kuwa na vituo hewa linadhibitika kiurahisi sana kuliko inavyodhaniwa. Kila chama kiandae mawakala kulingana na idadi ya vituo. Na kwa vile list ya vituo (majina ya vituo) yanajulikana basi kama kituo hicho hakitakuwepo kwenye list automatically kitakuwa feki. Au kama kituo kipo kwenye list lakini haiko mahali popote then mawakala waripoti kwenye vyama vyao ili hatua zichukuliwe mapema.

Plz note this,
@J.J.Mnyika Tumaini Makene
 
Wapo jumla ya wapiga kura 22,751,292 nchini katika daftari la kudumu la wapiga kura walioandikishwa na NEC na 503,525 walioandikishwa na ZEC.

Kwa idadi hiyo ya wapiga kura walioandikishwa na NEC na ZEC, Magufuli anashinda kwa asilimia 69 ya kura zote.

Yangu macho na masikio, ila watanzania tutambue amani yetu ni tunda lililotukuka Afrika na duniani kote, tuitunze, tuidumishe na tuepuke mihemuko ya kisiasa. Tuwe tayari kumpokea Kiongozi huyo wa Awamu ya Tano.
Haki kwanza amani baadaye!!
 
Back
Top Bottom