Hilo jina la hadija ungeliacha tu! kwani ni siri?Nimetuma maombi siku ambayo Tangazo limetoka , lakini leo katika pitiapitia zangu nkakuta na ujumbe huu kwenye Gmail account yangu. Je njia waliotumia watu kuomba hizi nafasi ni sahihi au nini kifanyike hawa ambao email zao hazikuwafikia NEC wapate kutuma maombi yao? View attachment 1117339
unamaanisha alichelewa? au mliowahitaji waliishatuma?shida ipo kwako.
it meant they're at that limit and can't receive any more until they delete some old mails
Hili lilikuwa tatizo kweli mimi since day one nilikuwa natuma kila saa inasema hivyo kila nikishituka usingizini nashukuru Munguu baadae ikanikubalia siku ya jumamosiNimetuma maombi siku ambayo Tangazo limetoka , lakini leo katika pitiapitia zangu nkakuta na ujumbe huu kwenye Gmail account yangu. Je njia waliotumia watu kuomba hizi nafasi ni sahihi au nini kifanyike hawa ambao email zao hazikuwafikia NEC wapate kutuma maombi yao? View attachment 1117339
Eehe haya mkuuDead line ilikuwa tarehe 2 june,