Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,078
- 1,227
Nimetuma maombi siku ambayo Tangazo limetoka , lakini leo katika pitiapitia zangu nkakuta na ujumbe huu kwenye Gmail account yangu. Je njia waliotumia watu kuomba hizi nafasi ni sahihi au nini kifanyike hawa ambao email zao hazikuwafikia NEC wapate kutuma maombi yao?
