Elections 2010 Nec,govt ni nani alaumiwe?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,509
11,881
Napenda kuuliza,waraka wa kufungua vyuo novemba baada ya uchaguzi ulitolewa na nani kwenda vyuoni vyote?ki kawaida kila chuo huwa na programme zake na kawaida tz vyuo huanza muhula wa kwanza september! PINDA AMESEMA SERIKALI HAINA UWEZO WA KUTOA MIKOPO NA KUENDESHA UCHAGUZI KWA PAMOJA!SWALI KAMA HATA MKOPO HUNA UWEZO HIZO AHADI MNAZOWADANGANYA WA TZ PESA ITATOKA WAPI?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom