NEC Dar es Salaam kunani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC Dar es Salaam kunani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by leseiyo, Nov 1, 2010.

 1. leseiyo

  leseiyo Senior Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 25, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani huyu Kiravu analeta mchezo.Hivi inawezekana vipi tupate matokeo kutoka interior regions kama Tarime,Njombe Kusini,Singida Mjini tushindwe kupata matokeo ya majimbo ya Dar?Huu ni uchakachuaji uliopitiliza na kuleta vurugu zisizo na sababu.Tunatia aibu na ni upuuzi kupita kiasi.Kwa faida ya nani lakini?
   
 2. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tena huyo mzee anajifanya MSABATO mshika dini kumbe ni mnafiki mkubwa, yeye na mwenyekiti wake siwapendi mpaka nakosa lugha ya kuelezea juu ya chuki niliyonayo kwao.
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Makame and Kiravu, why dont you go and rest the job is too big for you Brazil wamepiga kura jana Matokeo tayari brazil ni kubwa kuliko Tanzania Area ya brazil ni 8,511,965 sq km wakati Tanzania ni 945,000 sq. km kitu gani kinawashinda ni nini mnataka kufanya ????? toeni matokeo msitufanye watanzania wajinga
   
Loading...