Elections 2010 NEC Dar es Salaam kunani?

leseiyo

Senior Member
Oct 25, 2007
116
3
Nadhani huyu Kiravu analeta mchezo.Hivi inawezekana vipi tupate matokeo kutoka interior regions kama Tarime,Njombe Kusini,Singida Mjini tushindwe kupata matokeo ya majimbo ya Dar?Huu ni uchakachuaji uliopitiliza na kuleta vurugu zisizo na sababu.Tunatia aibu na ni upuuzi kupita kiasi.Kwa faida ya nani lakini?
 
Tena huyo mzee anajifanya MSABATO mshika dini kumbe ni mnafiki mkubwa, yeye na mwenyekiti wake siwapendi mpaka nakosa lugha ya kuelezea juu ya chuki niliyonayo kwao.
 
Makame and Kiravu, why dont you go and rest the job is too big for you Brazil wamepiga kura jana Matokeo tayari brazil ni kubwa kuliko Tanzania Area ya brazil ni 8,511,965 sq km wakati Tanzania ni 945,000 sq. km kitu gani kinawashinda ni nini mnataka kufanya ????? toeni matokeo msitufanye watanzania wajinga
 
Back
Top Bottom