Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 769
- 1,959
KabisaApeleke ujinga wake huko!
Wachaguane wenyewe sisi CHADEMA hatutaki kushiriki huo upumbavu.
Maisha yanaenda kasi sanaMbowe ni mtu makini sana,awezi acha izo nafasi kwa presha za mitandaoni.kikubwa aombe kuonana na Rais ili kuweka mambo sawa kuondoa sintofahamu ya kwenye uchaguzi uliopita.
Hahaah Leo Mbowe mnamwita mtu makini hii huruma mmeitoa wapi?Mbowe ni mtu makini sana,awezi acha izo nafasi kwa presha za mitandaoni.kikubwa aombe kuonana na Rais ili kuweka mambo sawa kuondoa sintofahamu ya kwenye uchaguzi uliopita.
Achana na mambo mengine,minachojua Mbowe ni mtu na nusu.Hahaah Leo Mbowe mnamwita mtu makini hii huruma mmeitoa wapi?
Hammkushiriki?Apeleke ujinga wake huko!
Wachaguane wenyewe sisi CHADEMA hatutaki kushiriki huo upumbavu.
At the end of the day tutaona kama hamtateuaaa😂😂Apeleke ujinga wake huko!
Wachaguane wenyewe sisi CHADEMA hatutaki kushiriki huo upumbavu.
Jumuiya za kimataifa tayari wametoa congratulatory notes kuutambua ushindi wa kimbunga nendeni bungeni acheni siasa nyepesi haxitawasaidiaMaamuzi magumu yanahitajika jumuia za kimataifa na wahisani pia iwabane vya kutosha uhuni huu usipite.
Ndugai na Pombe wameshapata walichokihitaji na kukipigania sasa wanalia lia nini? Msimamo wetu ni ule ule kuwa hakukuwa na uchaguzi n hatutatoa ushirikiano wowote kwa hii serikali zaidi ya kuitakia mabaya popote pale ndani na nje ya Tanzania.Mbowe ni mtu makini sana, hawezi acha izo nafasi kwa presha za mitandaoni. Kikubwa aombe kuonana na Rais ili kuweka mambo sawa kuondoa sintofahamu ya kwenye uchaguzi uliopita.
Soma sheria ya vyama vya Siasa. Ruzuku ya chama haitokani na idadi ya viti maalum bungeni.Hatuwezi kuacha chama kikose ruzuku kwa sababu ya misimamo ya watu wachache. Kesho tutapeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu ili waendelee kupigania na kutetea haki za wananchi Bungeni. Mkumbuke kupitia hao wabunge ndio chama kinapata Ruzuku ya kujiendesha. Harakati zingine za kupigania haki ya uchaguzi uliopita bado zinaendelea..
Kwa taarifa yako na wengine wenye kuwashwa, Mbowe Hana muda mchafu wa kufanya mjadala na yeyote kuhusu lolote! Yupo anajenga chama.Mbowe ni mtu makini sana, hawezi acha izo nafasi kwa presha za mitandaoni. Kikubwa aombe kuonana na Rais ili kuweka mambo sawa kuondoa sintofahamu ya kwenye uchaguzi uliopita.
We ni mpiga kelele tu wa mitandaoni,una maamuzi yoyote nenda kaandamne.Apeleke ujinga wake huko!
Wachaguane wenyewe sisi CHADEMA hatutaki kushiriki huo upumbavu.
Aonane na rais yupi tena?Mbowe ni mtu makini sana, hawezi acha izo nafasi kwa presha za mitandaoni. Kikubwa aombe kuonana na Rais ili kuweka mambo sawa kuondoa sintofahamu ya kwenye uchaguzi uliopita.