Uchaguzi 2020 NEC: CHADEMA na CCM ndio vyenye sifa ya kupata Wabunge wa Viti Maalum kwenye Bunge la 12

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
9,997
2,000
Kwa taarifa yako na wengine wenye kuwashwa, Mbowe Hana muda mchafu wa kufanya mjadala na yeyote kuhusu lolote! Yupo anajenga chama.
Hao nec na ccm wanatosha kujiteua viti maalum! Wajichague wenyewe itapendeza kwani waliyataka! Mahera na jaji wake aibu hii mmeitaka!
Acha mihemko,mwishowasiku hii ni nchi yetu lazima tuwe wamoja hata kama tunavyama tofauti.
 

Kibereko

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
280
1,000
Nauliza hivi hao wabunge wa viti maalumu wanawakilisha majimbo gani ? hili hali majimbo yote yameshapata waakilishi ?
 

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
13,961
2,000
Mbowe ni mtu makini sana, hawezi acha izo nafasi kwa presha za mitandaoni. Kikubwa aombe kuonana na Rais ili kuweka mambo sawa kuondoa sintofahamu ya kwenye uchaguzi uliopita.
Tulipokuwa tunasema nyie ni wauaji mlikuwa mnabisha, Leo mnajifanya wema kama Mamba.
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,917
2,000
Acha mihemko,mwishowasiku hii ni nchi yetu lazima tuwe wamoja hata kama tunavyama tofauti.
Hapo kwenye nchi yetu nitoe! Kisha tulia unapoandika ili uepuke makosa ya uandishi! Au hoja yangu imekuchanganya? Isiwe msemaji wa watu wengine kwani hawajakutuma!
 

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,094
2,000
Mbowe ni mtu makini sana, hawezi acha izo nafasi kwa presha za mitandaoni. Kikubwa aombe kuonana na Rais ili kuweka mambo sawa kuondoa sintofahamu ya kwenye uchaguzi uliopita.
Leo wewe unamuita Mbowe mtu makini sana😁😁😁😁😁,sio bure!
 

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,094
2,000
Jumuiya za kimataifa tayari wametoa congratulatory notes kuutambua ushindi wa kimbunga nendeni bungeni acheni siasa nyepesi haxitawasaidia
Kwani lazima CDM iwepo bungeni?Si ilikuwa lengo lenu mchukue viti vyote kwani wapinzani wanachelewesha maendeleo!
Hizo nafasi tunawapa ofa CCM mzijaze!
 

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,679
2,000
Pamoja na uchakachuaji hii idadi ta kura ina akisi kwenye kura za uraisi.
Ukichujua 8.3 plus 4.6 plus 1.2 hiyo ni 14.1

Sawa na ccm 59% cdm 33% na cuf 8%
 

Mtoto wa Mama Samia

JF-Expert Member
Apr 3, 2013
766
500
Mbowe ni mtu makini sana, hawezi acha izo nafasi kwa presha za mitandaoni. Kikubwa aombe kuonana na Rais ili kuweka mambo sawa kuondoa sintofahamu ya kwenye uchaguzi uliopita.
We nawe ni kapumbafu kumbe? Tangu lini Mbowe akawa na busara mbele ya ccm? Mnaanza kutumia lugha za kumbembeleza aingie king ili muanze kejeri zenu? Utoko zaidi ya utopolo
 

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
10,744
2,000
Apeleke ujinga wake huko!

Wachaguane wenyewe sisi CHADEMA hatutaki kushiriki huo upumbavu.
Huu upumbavu mnautaka sana, Mbowe hawezi kuwasikiliza eti asiteuwe hawara Yake Joyce Mukya utampa pesa ya matumizi wewe? Pia Kuna pesa lazima wampe Mbowe kwa mwezi tsh 1560000/- wakiwa 10 hizo ni 15 Mil kwa mwezi Mbowe hawezi kuacha hiyo hell.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom