Ndumo ya Jerry Muro imejaa ngunja

Ndumo ya Jerry Muro imejaa ngunja

IMG_20171007_200824.jpg
 
Sijawahi shawishika kuwa Murro ni mwandishi,japo kasomea uandishi! Elimu so makaratasi ya tuzo! Ni maarifa uliyopata mafunzoni na unavyoyatumia. Murro ni kapi!

Tangu akiwa msemaji( mropokaji nadhani sahihi zaidi),sikuwahi msikia akitoa taarifa yenye "akili".Waliomfungia walikuwa sahihi. Nitashangaa kama TFF wasio na taaluma ya upelelezi waliona kasoro wakachukua, hatua sembuse polisi na Sirro wanaojinasibu?

Ungewachambua Lema na Nassari. Na flashi diski yao. Ningekuona una credibility ya kuhoji. Ungezungumzia umuhimu Wa dereva WA Lisu kuja kuhojiwa na Polisi kama taratibu zinavyotutaka wote. Ningefurahi kuona una makini na uzalendo. Ungechambua umuhimu wa uzalendo vs press conferences za kila Siku na ukijua Muda unakwenda Maendeleo hayatusubiri. Ningekusoma. Ubwabwa wenu ni mmesahau Muro Sio kiongozi Wa Siasa Wa kundharau alikuwa awe Lema mtumishi wa MUNGU .huna credibility kwa kuwa uko biased hapa JFM hatutaki bavicha Au UVccm the nataka watoa mada zenye mwelekeo Sio taarabu. Lema aliimba taarabu na Muro akamalizia quid pro quo
 
Kwanza Gerry anawajibia watuhumiwa yeye kama Nani kwao? Huyu apuuzwe!! SAMAHANI MKUU MTOA MADA NAOMBA UNISAIDIE MAANA YA MANENO HAYA KWENYE MAKALA YAKO KWA FAIDA YANGU NA YA WENGINE. 1. Maana ya BIGHAIRI 2 UBAGHAMU 3. UBAHALULI. 4. SHASHIMAMISHI. 5. SHANI 6. KADINDI 7. SHESHE
Bighairi=licha
Ubaghaumu=ujinga
Ubahaluli=ujuha
Shashimamishi=useless person
Shani=shauku
Kadindi=mengi/magumu
Sheshe=uzuri bandia
 
Ungewachambua Lema na Nassari. Na flashi diski yao. Ningekuona una credibility ya kuhoji. Ungezungumzia umuhimu Wa dereva WA Lisu kuja kuhojiwa na Polisi kama taratibu zinavyotutaka wote. Ningefurahi kuona una makini na uzalendo. Ungechambua umuhimu wa uzalendo vs press conferences za kila Siku na ukijua Muda unakwenda Maendeleo hayatusubiri. Ningekusoma. Ubwabwa wenu ni mmesahau Muro Sio kiongozi Wa Siasa Wa kundharau alikuwa awe Lema mtumishi wa MUNGU .huna credibility kwa kuwa uko biased hapa JFM hatutaki bavicha Au UVccm the nataka watoa mada zenye mwelekeo Sio taarabu. Lema aliimba taarabu na Muro akamalizia quid pro quo
Niamini ktk uhuru wa maoni.Umeona ni eneo lipi la kuchambua,ni haki yako.Kumbuka nami Nina haki pia, hivyo " usinipangie" cha kujadili!.

Lema n.a. Nassari wametupa jiwe gizani. Murro limempata au kasukumiziwa jumba bovu? Shauri yake,atavuna alichopanda.

Maendeleo hayaletwi n.a. kelele,mbwembwe n.a. drama za makinikia,bandarini,fungia fungia n.a. kamata kamata. Ni matokeo ya akili kutumika ipasavyo!

Karma mapato yameshuka hadi bil.600 nani kasababisha-Lema,Nassari,Chadema au wapiga dili? Jibu unalo!

Tuamini kuwa sote tunaitakia nchi yetu Mema,tofauti ni " namna".wengine hatupo tayari kupelekeshwa kikondoo, tutahoji,tutalalamika na kushauri. Vichwa tulipewa vya nini?
 
Muro kasukumwa mbele kujaribu kutuliza upepo wa LEMA na NASARI. Be aware kwamba yumo katika MFUKO wa RC wa Dar.....

KADA
 
Baba ukikuta mtoto analia ukimuuliza nan kakupiga utamwambia tema tu mchape ndipo baba upiga ukata na kusema nyamaza mtoto ananyamaza kweli nasi tunasubir kutiwa mbaron kwa muro hapo kwa kinafki Asaidie upelelezi tutaridhika
 
Pia usomi wake ni uchwara.

Muro ni kati ya vijana wenye IQ ndogo ila walidondokewa na zali kwenda kusoma nje.

Hivi kuna mtu yeyote akiwemo Jerry mwenyewe anayeweza kuthibitisha kuwa Jerry aliwahi kusoma nje?? Kuna anayeweza kuthibitisha kuwa Jerry ni mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2006 au mwaka mwingine wowote ule? Amewahi kwenda Marekani ndiyo na amewahi kupitia Mlimani lakini hakutoka na chochote wala hayumo kwenye orodha ya wahitimu wa UDSM. Aondoe jina la UDSM kwenye CV yake. Hakuhitimu.
 
Huyo anawashwawashwa kwenye mzuti anataka huduma kma le baharia,huyu sio mchaga mana sijawahi ona mchaga mse.....e kiasi hichi
 
Safi sana kwa utumizi mzuri wa lugha iliyojaa msamiati wa Kipekee.
 
Mmesahau huyo kijana hana kazi, alikua analenga uteuzi bahati mbaya hayumo. Huyu kijana alitaka kiki wikend nzima imuongelee, baht mbaya magu hapangiwi, kamwaga baraza leoleo
mwenye picha ya jerry muro akiomba ujumbe bavicha mwaka 2012 atuwekee
 
Back
Top Bottom