mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,788
Amepata wapi kibali cha kuweka PC?
Huyu atakuwa ana tumiwa.
Huyu atakuwa ana tumiwa.
Mchambuzi wa hii mada ni nguli wa kiswahili si mchezo.Muro ni shashimamishi.Hako kaneno ndo nakasikia leo..Uchambuzi si haba.
Kwamba alikuwa anapambana na ufisadi ndio maana alikuwa anatembea na pingu?Muro anawaeleza msippenda kuyasikia ingawa yana ukweli
Wajinga lazima mteteane tu lakini ukweli ni kwamba reasoning capacity ya huyu kimeo ni sifuriMuro anawaeleza msippenda kuyasikia ingawa yana ukweli
Hizo ni metaphorical terms mkuuKwanza Gerry anawajibia watuhumiwa yeye kama Nani kwao? Huyu apuuzwe!! SAMAHANI MKUU MTOA MADA NAOMBA UNISAIDIE MAANA YA MANENO HAYA KWENYE MAKALA YAKO KWA FAIDA YANGU NA YA WENGINE. 1. Maana ya BIGHAIRI 2 UBAGHAMU 3. UBAHALULI. 4. SHASHIMAMISHI. 5. SHANI 6. KADINDI 7. SHESHE
Kwa akili yako ya kawaida tu bila kuingiza itikadi huwezi kumlinganisha Ndugu Murro na Mh Lema.Its incomparableMuro na Lema wote wawili ni wapumbavu wa kupuuzwa ila sikujua Muro ni arrogant na mwenye majivuno namna ile. Pia usomi wake ni uchwara. Arguments alizotoa kwenye utetezi wake karibia zote hazina mashiko na zimesheni logical fallacies za kila aina. Alitakiwa ajibu tuhuma siyo kumshambulia mtoa tuhuma. Muro alitakiwa ajibu substance ya madai ya Lema kuwa anasupport ndoa za jinsia moja na siyo kuja na hoja kuwa Lema apambane kwanza na wabunge wawili wanawake wa CHADEMA anaowatuhumu kujihusisha na mapenzi ya kijinsia moja halafu ndiyo aje kwake.