Ndumba Mchana Kweupeeeee Mweee

Huyo sio yule mbunge wa kusini kweli! nambari one eee nambari one CCM
 
Nambari wani nadhani iyena iyena,mwalimuuu mwalimu nyereree.
 
Anafanya hivyo ili ng'ombe waongezeke..Waafrika tuna shida kweli. Do you think ng'ombe wanaweza kuongezeka kwa kuoga kwenye banda lake,,

Ndio wanaweza ongezeka. Unakumbuka bible story ya Yakobo? aliwapa ngombe maji yaliyowekwa fito ili wazaapo wazaliwe ndama wenye mabaka mabaka na mistari aweze kuongeza idadi ya ngombe.mwanzo 30:37....
 
kwa kweli viongozi wa dini wana kazi kubwa sana,sasa huyu kumrudisha kiimani ktk dini yake ni kazi nzito jamani!mungu mshukie mtu huyu!
 
kweli uchawi balaa. lakini mtu akifanya hivyo lazima awe mchawi?
 
Mbona huyu kama lemutuz a.k.a le kibonge.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Huyu atakuwa maige alikuwa anafanya tambiko asimwagwe uwaziri.. lakini Mambo yakawa tofauti.. pole bro maige ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…