Ndumba Mchana Kweupeeeee Mweee

tewmbea uone, dunia ina mambo lol!! na kuishi kwingi kuona mengi khaaa!
 
Mbona inaonekana sio mchana kweupe kama mwandishi ulivyodai?
 
Kazi yote ya nini,kama anataka mifugo mingi angetafuta pua ya Fisi tu,kisha akamchanjia Dume mmoja na sio wote kwisha habari..
 
Hiyo picha ya Che Nkapa mmeitoa wapi nyie?
 
Mpiga picha mwoga kweli! Mi ningempiga kwa nyuma nalenga katikati ya makalio, halafu nyingine kwa mbel
 
Huyu si mbunge wetu hapa bunda na ni wazr pia au nokia yangu inandaganya!
 
Kweli wasr ameamua chadema mkiumaliza mwaka vzr mungu wenu.
 
anatafuta ujumbe wa NEC. mpaka kinyanganyiro cha ujumbe wa NEC CCM kiishe tuta shuhudia mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…