ndui (alama mkonoi ya chanjo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ndui (alama mkonoi ya chanjo)

Discussion in 'JF Doctor' started by Architect E.M, Jul 19, 2011.

 1. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  ndugu zangu kumetokea ubishi hapa baina ya pande mbili, wengine wanasema ilikua ni njia ya hayati mwalimu nyerere kuweka alama kwa kila mtanzania,, wengine wanasema ni chanjo dhidi ya magonjwa kama tb,,, madocta na wataalamu mlioko humu pliizz tusaidieni hapa, tumekwama
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Si umeshasema hapo juu ni chanjo ya Ndui?
   
 3. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kwani ni watanzania tu wenye chanjo ya ndui mabegani? au wengine wanachanjwa sehemu nyingine?
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ndio Wakenya wamechanjwa mkononi pembeni ya kiwiko,hii njia imetumika sana kufahamu nani Mbongo nani Mkenya.
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna kiwiko cha mguuni au kichwani?
   
 6. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  Ndo maana nikauliza,,, kwa ufahamu niliokua nao mimi ni kwamba ni chanjo, lakini mayb i am wrong, that is why i asked if kuna something more details
   
 7. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  Thanx sana kwa kuendelea kutufumbua macho bro...
   
 8. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Yap hata mimi nina rafiki yangu mjapan wao inakuwa tofauti hadi nilishangaa inakuwa begani lakini chin kidogo inakuwa vidoti doti kama tushimo tudogo tudogo 18 tudogo kama tushimo twa sindano nahisi ni aina ya utambulisho sababu kila nchi ina styly yake katika alama hizo na wala si chanjo kama wanavo dai kwanza huo ugonjwa wa ndui ndo upi na nani kawai ugua??
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ningekueleweshaje ukaelewa manake huwezi chanja kiwiko chenyewe.
   
Loading...