Nduguyo Nikumbuke..

Swahilian

JF-Expert Member
Apr 28, 2009
591
66
Ukijua jambo jema unijuze ndugu yako...

La kututia nguvu mwili sinifiche ndugu yako...

Kama ni ilmu ya manufaa unifunze ndugu yako...

Sinitenge kwa ulacho hata kidogo sinifishe njaa ndugu yako...

Si kwako tu ukumbuke hata miye nifanye hayo kwako...

Kwa uzima na umauti miye ntakuwa ndugu yako...

Litokealo kwa uwezo wake mola, siye tuwe wastahimilivu...

Nimekukumbuka ndugu yangu, apendapo yeye twaja kuonana tena...

Amani, upendo na utulivu vitawale maisha yako...
Tuzidi kuwasiliana na salamu zangu nyingi kwa familia yako,

Similar Discussions

Back
Top Bottom