makandemoja
Member
- Apr 17, 2016
- 57
- 48
maana yake "wamefiwa"Lugha gani tena hizi kufirika?
wamefikika---wamefikwawamefirika??????? ngoja waje wakikusikia. ;cc NONDA.
Mwenye kamusi ya kizanzibari anisaidie tafadhali kabla sijamtafuta ustadhi jecha.
Kwa hiyo wewe unaona sahihi kusema Wanzanzibar wamefirwa ? Kisa wafiraji wameandikwa kwenye Biblia ?Msishangae hata kwenye Biblia ipo hiyo:
1 WAKORINTHO
MLANGO 6
9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
Kwani uongo?Kwa hiyo wewe unaona sahihi kusema Wanzanzibar wame***** ? Kisa wafiraji wameandikwa kwenye Biblia ?