feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,020
- 18,680
Mjibu tu "yuko sahihi" mtu anayejinasibu fulani ni zaidi ya baba yake eti kisa tu huyo fulani kmuonesha njia ya kujua kutafuta hela bila kujua kuwa yupo kwa mpango wa mungu na riziki ya mtu hupita kwa mtu "usibishane nae"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu baki hawezi kuwa zaidi ya baba yako mzazi labda uwe na mapungufu ya akili
Sent using Jamii Forums mobile app