hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,389
Angekuwa anawatazama huko aliko angewaambia hao wasanii kwamba wajililie wenyewe!Nafatilia karibu msiba wa ndugu yetu.Nimebaini wasanii wanalia mpaka wanakufuru.Ndugu zangu vitabu vya dini vinatufundisha pindi tupatwapo na misiba tuseme "sisi ni wa M/Mungu na kwake ni marejeo.au "Bwana ametoa na bwana ametwaa". Sasa tusizidishe maneno yasiyokuwepo.Hakika kifo kiwe ni ishara na ukumbusho kwamba wote njia yetu ni moja.maneno kwamba bila yeye mimi nisi ge kuwa hapa sio sahihi wewe upo kwa mpango wa Mungu na yeye ndiye ajuaye kesho yako.Ndugu zangu tusilie sana kumlilia tuzililie nafsi zetu.Kwa yale mema aliyoyafanya tuyafuate na kwa mabaya yake tumsamehe kwani binadamu ni wadhaifu.Na katika sifa njema tuzitaje kwa ukweli tusisingizie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimu wanaingiaje hapo tena kwenye huo unafiki?
Wanaingia kwenye category ya unafiki kila wanapofika hatua yakudai malimbikizo yaoWalimu wanaingiaje hapo tena kwenye huo unafiki?
Analia utasema alikua mzazi mwenzaSawa mkuu but anatakiwa atulie sehemu sio kila saa juu juu huku analia
Kiongozi wao barnaba
Waheshimu walimu wakati wote kwani wao wamekufunza kila mmoja kwa nafasi yake
kama unajua ruge ana play part ipi kwenye muziki na maisha ya barnaba. Unge feel anavyo feelSawa mkuu but anatakiwa atulie sehemu sio kila saa juu juu huku analia
Huyu mbona umemsahau??Kiongozi wao barnabaView attachment 1035489
kama unajua ruge ana play part ipi kwenye muziki na maisha ya barnaba. Unge feel anavyo feel
Ni watu wawili tu katika maisha yangu naweza nikasema bila wao nisingekua hapa nao baba na mama wengine hao hata kama ulinisaidia vipi nitakupa shukurani lakini sitasema bila wewe ni singekuwa fulani....kijana ukiwa na mitazamo hiyo nakwambia utaburuzwa hadi kufa maana huta jiamini utaenda kisha utasema bila fulani nis....Nafatilia karibu msiba wa ndugu yetu.Nimebaini wasanii wanalia mpaka wanakufuru.Ndugu zangu vitabu vya dini vinatufundisha pindi tupatwapo na misiba tuseme "sisi ni wa M/Mungu na kwake ni marejeo.au "Bwana ametoa na bwana ametwaa". Sasa tusizidishe maneno yasiyokuwepo.Hakika kifo kiwe ni ishara na ukumbusho kwamba wote njia yetu ni moja.maneno kwamba bila yeye mimi nisi ge kuwa hapa sio sahihi wewe upo kwa mpango wa Mungu na yeye ndiye ajuaye kesho yako.Ndugu zangu tusilie sana kumlilia tuzililie nafsi zetu.Kwa yale mema aliyoyafanya tuyafuate na kwa mabaya yake tumsamehe kwani binadamu ni wadhaifu.Na katika sifa njema tuzitaje kwa ukweli tusisingizie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi baba ake akifa atalia kama hivyo! Hii kweli kufuruKiongozi wao barnabaView attachment 1035489
Kaka tuache kebehi unajua Barnabas alikotokea wacha amulilie Ruge,bila Ruge tusingemjua Barnabas,kila mtu ana rafiki na jamaa zakesijui wewe rafiki yako au mtu aliyekupa maisha akikutoka kama hutalia basi utakuwa masaburi,mambo mengine mnaudhi sana,mwache alia Barnabas kinachokukera wewe kitu gani,ata ufanyeje hautaweza kumfikia Ruge kwa umaarufu na hadhi yake,tuache husuda .Kiongozi wao barnabaView attachment 1035489
Huna akili wewe,unaweza mtukana hata mama yako.