MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,169
- 3,311
Ruge alikuwa zaidi ya baba yake Barnabas kama ulikuwa hujui basi habari ndio hiyo,na anayekufaa maishani sio lazima awe baba yako au ndugu yako,mwache Barnabas amlilie Ruge,labda ni watu wa Shitimbi na roho zenu mbaya ndio hamjui Ruge alimfanyia nini Barnabas inaonekana mumekuja Darisalaama jana.
Hao walimu anao watukana ndio wamemfanya ajue kutumia mtandao ku..zakeHuna akili wewe,unaweza mtukana hata mama yako.
Unajua kuandika saa hivi unawaona walimu wasanii!!!Shame on you.
Kaka tuache kebehi unajua Barnabas alikotokea wacha amulilie Ruge,bila Ruge tusingemjua Barnabas,kila mtu ana rafiki na jamaa zakesijui wewe rafiki yako au mtu aliyekupa maisha akikutoka kama hutalia basi utakuwa masaburi,mambo mengine mnaudhi sana,mwache alia Barnabas kinachokukera wewe kitu gani,ata ufanyeje hautaweza kumfikia Ruge kwa umaarufu na hadhi yake,tuache husuda .
Ruge alikuwa zaidi ya baba yake Barnabas kama ulikuwa hujui basi habari ndio hiyo,na anayekufaa maishani sio lazima awe baba yako au ndugu yako,mwache Barnabas amlilie Ruge,labda ni watu wa Shitimbi na roho zenu mbaya ndio hamjui Ruge alimfanyia nini Barnabas inaonekana mumekuja Darisalaama jana.
Studio ya barnaba...studio ya tht..studio ya wasanii waliyopewa na Mh. JK..haya connect dots.Ukweli unauma. Kuna watu wananitolea povu ila jamaa anakufuru
Ruge alikuwa zaidi ya baba yake Barnabas kama ulikuwa hujui basi habari ndio hiyo,na anayekufaa maishani sio lazima awe baba yako au ndugu yako,mwache Barnabas amlilie Ruge,labda ni watu wa Shitimbi na roho zenu mbaya ndio hamjui Ruge alimfanyia nini Barnabas inaonekana mumekuja Darisalaama jana.
Studio ya barnaba...studio ya tht..studio ya wasanii waliyopewa na Mh. JK..haya connect dots.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio unatoa povu,acheni unafikiPoooovuuuuuu
Anafikiria kesho yake hapo...msiba sio kitu sana.Pamoja na hayo alitakiwa awe mfariji wa wafiwa zaidi. Mkuu mfiwa akilia wee akinyamaza sio kwamba kachoka hapana anahitaji liwazo. Sasa mama mtu/dada/mtoto kalia kanyamaza ghafla jamaa anaangua kilio inaamsha huzuni tena. Mtoto wa kiume awe mfariji wa wenzie.
Ukweli unauma. Kuna watu wananitolea povu ila jamaa anakufuru
Sisi wengine tumeukosa usupa staa duniani tutawabuluza akheraKaka tuache kebehi unajua Barnabas alikotokea wacha amulilie Ruge,bila Ruge tusingemjua Barnabas,kila mtu ana rafiki na jamaa zakesijui wewe rafiki yako au mtu aliyekupa maisha akikutoka kama hutalia basi utakuwa masaburi,mambo mengine mnaudhi sana,mwache alia Barnabas kinachokukera wewe kitu gani,ata ufanyeje hautaweza kumfikia Ruge kwa umaarufu na hadhi yake,tuache husuda .
Jiwe limetupwa gizani.Huna akili wewe,unaweza mtukana hata mama yako.
Unajua kuandika saa hivi unawaona walimu wasanii!!!Shame on you.
Ipo Siku mtakubali kuwa Mimi ni Nabii japo naweza nikawa sikubaliki Mioyoni mwenu. 85% ya niyasemayo huwa yanatokea na kuwa kweli. Rejeeni ' Uzi ' wangu mmoja wa mwanzo mwa Mwaka huu wa 2019 niliandika kuwa kutakuwa na matukio kadhaa na Misiba ya Watu ' Maarufu ' katika Medani za Kisiasa na Kijamii na nadhani moja wapo limetimia na nina wasiwasi na Mwanasiasa mmoja ( namuhifadhi ) kwamba nae ' Israeli ' hayuko nae au hatokuwa nae mbali. Naomba niishie hapa tafadhali.
Sana na wasaniiiNafatilia karibu msiba wa ndugu yetu.Nimebaini wasanii wanalia mpaka wanakufuru.Ndugu zangu vitabu vya dini vinatufundisha pindi tupatwapo na misiba tuseme "sisi ni wa M/Mungu na kwake ni marejeo.au "Bwana ametoa na bwana ametwaa". Sasa tusizidishe maneno yasiyokuwepo.Hakika kifo kiwe ni ishara na ukumbusho kwamba wote njia yetu ni moja.maneno kwamba bila yeye mimi nisi ge kuwa hapa sio sahihi wewe upo kwa mpango wa Mungu na yeye ndiye ajuaye kesho yako.Ndugu zangu tusilie sana kumlilia tuzililie nafsi zetu.Kwa yale mema aliyoyafanya tuyafuate na kwa mabaya yake tumsamehe kwani binadamu ni wadhaifu.Na katika sifa njema tuzitaje kwa ukweli tusisingizie.
Sent using Jamii Forums mobile app