Ndugu zangu, wala hakuna uzuri kwenye jambo hili

Kupatwa kwa jua ni tukio la kisayansi ambalo hutokea sehemu tofauti duniani kila baada ya wastani wa miezi 18, lakini katika eneo moja linaweza kujirudia mara moja tu kila baada ya miaka 360 hadi 410.

Ingawa kupatwa kwa jua kunaelezeka kwa njia za kisayansi tukio hili pia lina maana kubwa ya kiroho kwa wengi. Katika mila na dini mbalimbali, kupatwa kwa jua kunachukuliwa kama ishara kutoka kwa nguvu za kimungu au onyo la kiroho.

Ndani ya Ukristo, mianga katika anga la mbingu inatumika kama dalili na majira kama ilivyoandikwa Mwanzo 1:14-15. Waumini hutumia matukio haya kama kipindi cha kujiandaa kiroho na kutafakari kuhusu majukumu yao mbele za Mungu.

Hivyo, ingawa kimsingi kupatwa kwa jua ni tukio linaloelezeka kisayansi, bado lina umuhimu wa kiroho kwa wengi. Ni sawa na fundi wa gari anayelijua gari lake ndani na nje; kulijua gari hilo kisayansi haimaanishi kuwa gari hilo halina muumbaji.

Always fikiria kwa jicho la pili.
Hapo
 
Ha
 
Siku ya jumatatu ya leo inasemekana kutokea tukio kubwa la kupatwa kwa jua, jambo hili ni zito ndugu zangu lakin wengi wetu tunaliona ni kama sehemu ya utalii.

Ni moja kati ya dalili mbaya mno inayodhihirisha juu ya kukaribia kwa siku ya qiyama(mwisho wa dunia).

Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie tutahadhari na tumrejee MUUMBA wetu kwa maana maasi na dhambi zimezidi mno.

CHUKUA HATUA NDUGU YANGU NA USINGOJE KUCHELEWA.
ulisoma hata ukafika darasa la 4?
 
Bahati mbaya leo tumeamka na mvua na tunamaliza na mvua,
Tukio linapita bila kuona chochote
 
Siku ya jumatatu ya leo inasemekana kutokea tukio kubwa la kupatwa kwa jua, jambo hili ni zito ndugu zangu lakin wengi wetu tunaliona ni kama sehemu ya utalii.

Ni moja kati ya dalili mbaya mno inayodhihirisha juu ya kukaribia kwa siku ya qiyama(mwisho wa dunia).

Mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie tutahadhari na tumrejee MUUMBA wetu kwa maana maasi na dhambi zimezidi mno.

CHUKUA HATUA NDUGU YANGU NA USINGOJE KUCHELEWA.
Kupatwa kwa jua au mwezi hakujaanza siku hizi, matukio hayo yalikuwa yanatokeo kabla hata ya kuubwa kwa Adam na Eva na ni ya kawaida kama kuchomoza na kuzama kwa jua. Wacha kuwakatisha watu tamaa ya kuisha kama wewe umechoka kuishi! Fanya kazi kwa bidi na omba Mungu kwa bidii na kuwa na matumaini hata mwisho wa dunia ukiwa kesho ni sawa hutaogopa kitu.
 
We nae Kama mleta mada tu. Bibie kitaja
Kumcha Mungu huenda mmeshachelewa.

Nyota ya Pakanga ile iliyotajwa ktk kitabu cha ufunuo inaenda kutokea.
Jua litatiwa giza na Nuru itapotea.

Gogu na magogu tunasikia huko Middle East Wanaitana kuushambulia Mji wa Mungu wa Yerusalem majeshi wapatao kumi elfu mara ishirini elfu.

Ndugu zangu Kiyama kimeshaingia

We nae hamchekani na mleta mada. Bible ikitaja Israel ama Yerusalemu kiunabii haimanishi hizo locations.... Nyie ndo mnatembea na bendera ya Israel... It is a figurative language.
 
Back
Top Bottom