Ndugu zangu Wakulya

Ndugu zangu Wakulya

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Leo nimewaandalia kichuri, hapa mkoani mbeya, kuna kapart hapa kwangu maeneo ya forest
 
daaah nlifikiri umekuja kuwachambua wanaume wa kikurya kumbe unawaongelea WAKULYA.
Wakurya nilkuja na maneno yao ila ngoja niyaweke for future use.
 
Mkuu hiyo part ipo Forest mpya au ile ya zamani...
Ukitaja mitaa ya Forest unanikumbusha mbali sana, maana ndio wengine tumekulia maeneo hayo...kuanzia kule juu kwa Mhindi Kassim hadi huku chini hospitali ya Meta...halafu kuelekea mitaa ya Summer Night huko hadi kule shule ya Msingi Mapinduzi...
 
waandalie na Mabibi (vigori) vya kuwapokea na kuwakaribisha.
Yaani wewe unaenda kinyume na taratibu za KIKURYA.
Penye L wenyewe wanaweka R ila wewe penye R unaweka L:help:
 
waandalie na Mabibi (vigori) vya kuwapokea na kuwakaribisha.
Yaani wewe unaenda kinyume na taratibu za KIKURYA.
Penye L wenyewe wanaweka R ila wewe penye R unaweka L:help:

umeniwahi kidogo...nilitaka niulize wakuLya ndio kitu gani?
 
ha! ha! ha! teh! teeeeee! nimecheka kigazeti. wakurya ni mapot. ukikutana na askali, mwanajesh. ujue ni mkurya. kasoro mgambo na askali magereza
 
waandalie na Mabibi (vigori) vya kuwapokea na kuwakaribisha.
Yaani wewe unaenda kinyume na taratibu za KIKURYA.
Penye L wenyewe wanaweka R ila wewe penye R unaweka L:help:

Babe nilikuwa nataka niende mitaa hiyo.....
nahitaji yako ruhusa
 
Kura tumekura pakurara sasa......!! vita ni vita muraaaaaa!!
 
Mkuu hiyo part ipo Forest mpya au ile ya zamani...
Ukitaja mitaa ya Forest unanikumbusha mbali sana, maana ndio wengine tumekulia maeneo hayo...kuanzia kule juu kwa Mhindi Kassim hadi huku chini hospitali ya Meta...halafu kuelekea mitaa ya Summer Night huko hadi kule shule ya Msingi Mapinduzi...

Karibu Lizaboni Mtani, uje ushanga shangae na huku, sina hakika kama kwa Komba unapajua, Ufike mpaka Luhuwiko, uende mpaka Peramiho, Maposeni, Lindusi na Likuyu!
 
sasaaa hapo poti, ila nimeshipa mpaka nemefimbiwa sichui nitarara wapi?
 
Hawa c ndo wale wanaokatana mapanga kule tarime au?
 
ndio hao hao. wanakatana mapanga poti. kama mm tangia nije mjini cjarudi tena tarime. na ctarudi
 
Back
Top Bottom