Ndugu zangu Wakulya

Ndugu zangu Wakulya

Dah! yaani katika tembea tembea yangu ya nchi hii...Songea na Ruvuma kwa ujumla sijawahi kanyaga...ila nashukuru kwa ukaribisho huo mtani!

Karibu Lizaboni Mtani, uje ushanga shangae na huku, sina hakika kama kwa Komba unapajua, Ufike mpaka Luhuwiko, uende mpaka Peramiho, Maposeni, Lindusi na Likuyu!
 
kari na meta sec. ni forest ya zamani kaka

Okay kumbe ni huko...dah nimeikumbuka sana Forest...ila mwaka huu nilikuwepo huko naona nilikuwa nakutana na nyuso mpya...wale watu wa zamani hawapo kabisa
 
Dah! yaani katika tembea tembea yangu ya nchi hii...Songea na Ruvuma kwa ujumla sijawahi kanyaga...ila nashukuru kwa ukaribisho huo mtani!

Songea is unforgotten city, Kuanzia makumbusho-Makaburi ya Nduna Songea, Nkosi Mbonane, wadada warembo na watamu, samaki watamu na wenye virutubisho (mbelele, masangarafu, sipa), fukwe nzuri (mbamba bay), Ngoma ambayo ilimtoa ushamba Mjaluo Obama (Mganda), Kioda kilimchengua Malia na Mama yake Michele, bahati mbaya hakuoneshwa Chomanga, Ligambusa, Kingwangwa, na Lipuga-kama unapenda majambo haya basi utalowea. Misosi ndo mpango mzima-Lidelele, pitiku, mayenje, makululu, ngowani, lineke, mawungu, Likungu na much more to taste there! Hutajutia mtani, Karibu sana mtani,
CC platozoom, charminglady, The Boss, Mtambuzi, AshaDii, ladyfurahia, Wiyelele, Maboso, Ngalikihinja, Dark City, Fixed Point, snowhite, Kipipi, saudari, EMT, Bujibuji, Boflo, Nicas Mtei

Last edited by a moderator:
samaki watamu na wenye virutubisho (mbelele, masangarafu, sipa)

Kama ni samaki wa Ziwa Nyasa pia nimewala kipindi nikiishi Kyela...

Mbelele, Ubhusipa(hawa ni kama dagaa nadhani ndio hao umewaita Sipa), Mbasa (Hawa ni wakubwa na watamu sana).....
 
kuna wengine wamefika hapa kabwe wanaulizia njia ya forest nmewapandisha kwenye bajjaji ziendazo airport utawapokea uwapeleke forest wapo 15.
 
Leo nimewaandalia kichuri, hapa mkoani mbeya, kuna kapart hapa kwangu maeneo ya forest
pozzyfaza tunaitwa WAKURYA na si WAKULYA kama ulivyoandika, sisi hatuna L, kila kwene L weka R, na R inabaki kama ilivyo. Badilisha.
 
Last edited by a moderator:
Songea is unforgotten city, Kuanzia makumbusho-Makaburi ya Nduna Songea, Nkosi Mbonane, wadada warembo na watamu, samaki watamu na wenye virutubisho (mbelele, masangarafu, sipa), fukwe nzuri (mbamba bay), Ngoma ambayo ilimtoa ushamba Mjaluo Obama (Mganda), Kioda kilimchengua Malia na Mama yake Michele, bahati mbaya hakuoneshwa Chomanga, Ligambusa, Kingwangwa, na Lipuga-kama unapenda majambo haya basi utalowea. Misosi ndo mpango mzima-Lidelele, pitiku, mayenje, makululu, ngowani, lineke, mawungu, Likungu na much more to taste there! Hutajutia mtani, Karibu sana mtani,
CC platozoom, charminglady, The Boss, Mtambuzi, AshaDii, ladyfurahia, Wiyelele, Maboso, Ngalikihinja, Dark City, Fixed Point, snowhite, Kipipi, saudari, EMT, Bujibuji, Boflo, Nicas Mtei

Kwenye mboga, dadi uyewalili (umesahahu) Mdojolela, chikandi, mangatungu, Mawondi, linamfusulela, fiwi, etc halafu kwenye kinywaji tuna komoni, kindi, ulansi, togwa a.k.a kindongo etc Kwenye ngoma umeshahu lindeku, madogoli etc

CC platozoom, charminglady, The Boss, Mtambuzi, AshaDii, ladyfurahia, Wiyelele, Maboso, Dark City, Fixed Point, snowhite, Kipipi, saudari, EMT, Bujibuji, Boflo, Nicas Mtei
 
Back
Top Bottom