Ndugu zangu Waislam kufundisha karate Misikitini lina maana gani hili

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,592
11,831
Ni katika kutaka kujua tu, mana nimeliona hili sehemu nyingi sana misikiti mingi utakuta wanajifunza karate, tena wengi wanao funzwa ni vijana wadogo.

Mfano, kuna msikiti mmoja pale Ilala bungoni na mwingine maeneo ya magomeni mwembe chai.

Hili limekaaje kwamba ni utamaduni wa dini, ama ni sheria au ni jambo ambalo lipo kimaandiko??
Lengo ni nini hasa?

Mana kwenye nyumba za Mungu Kama hizi kuonekana vitu Kama hivi inaweza ikatia mashaka kwa baadhi ya watu.
Naombeni ufafanuzi kwa wanao jua.
 
Kama ni michezo why karate, kwanini isingekuwa football, tennis etc, i'm a muslim but sikubaliani na hili swala la karate misikitini.
Karate ni mchezo kama michezo mingine ndio maana hakuna nchi duniani iliyokataza karate

Kama vipi kamshauri Gwaji boy nae aanzishe kucheza karate pale kanisa lake Ubungo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali lako halina lengo lolote la maana zaidi ya kusambaza Fitna, Chuki na unafiki ambao wagalatia kwenu ni Ibada kubwa.

Misikiti yote uliotaja Nimesali mara nyingi tu na abadan sijaona mafunzo ya karate wala Sarakasi.
Na Hata kama yapo wewe inakuhusu nini?
Kwanini usiulize zile misa za usiku watoto wadogo wanapelekwa kufanya nini huku wamevishwa vimini na kupakwa poda mpk masikioni?

Makafiri acheni fitna. Mtakuja pigwa laana km makafiri wenzenu wa China.
Yaani hamlali mpk mchokoze waislamu.

Dada zenu tunawaoa kila siku. Tukawarudisha kwenye ustaarabu lkn hata shukrani hakuna.
Kweli kafiri ni najsi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me mwenyewe muislam na nimecheza sana karate kwa sasa nafundisha.

Karate ni mchezo tu kama ilivyo michezo mingine na kila mmoja anaweza kujifunza karate kuendana na mazingira yanayomzunguka.

Katika huu mchezo huwa wanafundishwa sana psychology na hii sio karate pekee hata Kung-fu nae wanafundishwa popote pale. Pia football upo, netball, volleyball, n.k
Kama ni michezo why karate, kwanini isingekuwa football, tennis etc, i'm a muslim but sikubaliani na hili swala la karate misikitini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom