Ndugu zangu wa mikoani mmeanza kuniangusha

Shida na raha

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
3,774
3,460
Nilikua nawasifia sana lakini kwa style hii mtaendelea kulizwa sana na watoto wa Daresalam..
Screenshot_20180802-100736.jpg
 
nimejikuta ninaimba "wanaume tumeumbwa matesoooo kuhangaika"

yani pata picha jamaa alinyweaje :D:D:D:D:D na bora ilikuwa via text ingekuwa face to face ndo kajibiwa hvyo asingetongoza tena maisha yake yote
 
Hahahaha wasukuma bwana hamtaacha kututia aibu mpaka dunia inakwisha.
 
Back
Top Bottom