Hasa kwenye vikoba huko kunamaliza sana jamiiNdugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".
Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.
Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.
Usiogope.....
Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.
UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Na taifa lenyewe linazidi kugawiwa kwa wageni sijui hatima yake ni ipiShida ni UKIMWI UNATEKETEZA FAMILIA NA TAIFA
Kuna Mtu kasema ukimwi Siyo REAL?Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".
Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.
Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.
Usiogope.....
Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.
UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Zamani walikuwa wanasema Acha Iniue Dogodogo SiachiUkimwi ni upungufu wa kinga mwilini unaosababushwa na HIV
Wale vijana mabingwa wa kuzama chumvini hawawezi kukuelewa.sio ameukwaa hali ni tete acheni zinaa uasherati hamtaiona mbingu, mbinguni hakutaingia waasherati na wazinzi watatupwa kwenye ziwa la moto tubuni basi mrejee ndugu Yesu anarudi kuchukua watakatifu
jioni huwa in charge manyota wa siku anauliza leo WA UKIMWI wa ngapi?
utaskia leo tumehudumia wagonjwa 79, wa UKIMWI pekeyake ni 57 wenye umri wa miaka 1-39 dah
inakua vigumu mno kukaa kimya huku kila leo tunapumzisha wanafamilia, ndugu , jamaa na marafiki tukijificha na kupeana moyo eti ni sukari na presha ndio imemsumbua........ My friend UKIMWI ni kitu mabaya sana kaa chonjo, baki njia kuu....Wewe ni mtumishi kada ya afya?
Hakuna asiyejua ngoma inaua, na hakuna asiyejua ngomq ni kitu mbaya...inakua vigumu mno kukaa kimya huku kila leo tunapumzisha wanafamilia, ndugu , jamaa na marafiki tukijificha na kupeana moyo eti ni sukari na presha ndio imemsumbua........ My friend UKIMWI ni kitu mabaya sana kaa chonjo, baki njia kuu....
Kwani wakishindwa kulipa madeni wanaambukizwa ukimwi Kwa lazima?Hasa kwenye vikoba huko kunamaliza sana jamii
Dah ndio ushaukwaa mkuu?Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".
Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.
Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.
Usiogope.....
Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.
UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Malaria ndio inayoongazaKwani ndio ugonjwa unaongoza kuua watu TANZANIA?