Ndugu zangu naombeni ushauri, ujauzito huu ni wa nani au nifanye nini?

Hivi mimi na wewe nani mjinga?
Nimeshauri apime dna kujua mtoto wa nani ujinga wangu uko wapi? Pita kushoto usinitafutie ban
[HASHTAG]#nottodaysatan[/HASHTAG]!
unaogopa ban yaani nimecheka sana mkuu,unatamani kumtukana ishu unaogopa ban!kam ningekuwa mode ningekuban kwa nia yako ovu kama vile red card zitolewavyo!
 
Duuuh hpo patata ndugu, hv mwanamke umemkataz kwnd mahal af aondoke kienyej na ukajua kabs kaend kumegwa af anarud kwa nani
 
unaogopa ban yaani nimecheka sana mkuu,unatamani kumtukana ishu unaogopa ban!kam ningekuwa mode ningekuban kwa nia yako ovu kama vile red card zitolewavyo!

Naheshimu ban kuliko navyomheshimu huyo alieandika ujinga. Yani kanishawishi kabisa nijiban kwa kutoa maneno machafu ila nimejitahidi! Pepo kashindwa! Ban zenyewe mwezi mzima.
 
Kaka kwakua ni mke wako na mliapa mbele za Mungu na hadhira kuishi KWENYE SHIDA NA RAHA,MAGONJWA NA AFYA,UTAJIRI NA UMASIKINI nakushauri tu kama amekuambia ni wewe unahusika TAFADHALI "NDOA" ni TUNU na BARAKA toka kwa MUNGU mkuu wa kila jambo.Nakushauri kubali na ulee maana huenda umekuja duniani ili utimize hili ambalo limekukuta.
Mungu akakupe HEKIMA katika jambo hili maana ANAWEZA YOTE na jitahidi USALI SANA NA UMUIMBEE MEMA MKE WAKO.
 
Watu humu wanakushauri kimihemko ukiivunja ndia yako kwa ujingabukaanzisha uzi humu hawa hawa wanakutukana! Tulia ufanye maamuzi ambayo hutayajutia! huku ukijiuliza je hujawahi kutendavkosa lolote kubwa? Ni kiasi gani umekuwa ukimsimanga mkeo kwa kutokuwa na uwezo wa kushika mimba? na nini madhara yake kisaikolijia?
 
Watu hawajui mkeo tofauti na hawala au kademu kako huko pembeni ni suala la kufikiria pia. Niwape pongezi kwa kuweza kupata ujauzito mengi mtajipanga achana na maneno ya watu fuata moyo wako master
 
nguvu ya kufyamba ndio ipi?ya kumpa mimba au?
 
1. Wewe ni mwanamke. Umegawa papuchi nje kavu kavu, kitu kimenasa, sasa mimacho imekutoka kodooo utadhani umepoteza nauli.

2. Huyo mchepuko wako, hata kama hasimamishi vizuri, still anaweza kukutia mimba. Si alikukojoleamo eeh.

3. Pole sana mdada kwa kuwa njia-panda. Endelea kuzitumikia hizo dushe mbili.

4. Kuhusu mimba ni ya nani, ni YAKO wewe uliyeibeba.

-Kaveli-
 
Duuuh hpo patata ndugu, hv mwanamke umemkataz kwnd mahal af aondoke kienyej na ukajua kabs kaend kumegwa af anarud kwa nani


Hahahaa Mkuu umeona eeh.

Huyu mleta uzi ni mwanamke. Katoa mbunye nje kavu kavu, kanasa! sasa kapagawa.

Ukisoma vyema maelezo yake, obviously kabisa ni mwanamke. Aliogopa kusema yeye ni mwanamke, maana angeoga matusi humu balaa. Ameitwist hiyo story aonekane yeye ni male.

-Kaveli-
 
kitanda hakizai kharamu, kama ni mke was halal I...... motto no wako.
 


Asante
 
Tumbua tumbo umuangalie kama anafanan na we we mrudishie amalizie Siku za kukaa ndani at Ka afanani na we we mpoyezee atajiongeza mwenyewe kulud at
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…