5997
JF-Expert Member
- Jan 19, 2019
- 514
- 1,204
Kulingana na hali ya maisha kuzidi kuwa tight mtaani, nimeamua kujipanga kutafuta fedha nikaongeze fani,
Nimepanga kusomea udereva wakuu lakini naombeni kwa wenye ufahamu mnisaidie kidogo,
Mimi nahitaji kusomea udereve na kupata leseni inayoruhusu kuendesha gari za abiria kama vile hiace,
Sasa wakuu naombeni mnieleweshe kidogo
Je, leseni inayoruhusu magari ya abiria ni ipi wakuu?
Pia je naweza kusomea hiyo leseni kabla sijapata leseni nyingine yoyote?
Yaani namaanisha sijawai kusomea udereva wala kuwa dereva ndio nataka nianze, je inaruhusiwa kuanza na kisomea leseni inayoruhusu gari za abiria?
Msaada wenu wakuu naombeni mnifahamishe pia nitashukuru kama mnaweza kunielezea na gharama za mpaka kuja kuipata wakuu👏👏👏👏