Naombeni ushauri kuhusu Mafunzo ya udereva (VETA)

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,222
Natumaini mu wazima wa afya,

Naombeni ushauri mimi nina leseni daraja A, B, na D niliyo yapata kutokana na uzoefu wa hapa na pale wa kuendesha gari ila siku soma chuo chochote cha udereva (basic driving)

Nataka kwenda VETA KUSOMEA PSV driving.

Je, kutokana na sina cheti cha mafunzo ya udereva nitakubaliwa au wata nitaka nisome kwanza basic na je, nikisomea naweza tumia leseni hii hii niliyo ipata kwa njia za hapa na pale kwaajili ya kuongeza madaraja?

Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.

ciproflaxin
 
Kama imedumu miaka miwili na zaidi na Una umri kuanzia miaka 30 nenda , chinu ya umri huo utaenda kusomea C1 hakikisha unajua kuendesha basi maana ndio testing Yao, leseni isipungue umri WA miaka miwili
 
Back
Top Bottom