Ndugu zake wakamuuaa!!!

Ndugu zake wakamuuaa!!!

FuturePresident

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
321
Reaction score
57
Mzungu mmoja alifika benki na nyani wake,akaenda kumfunga sehemu walipokuwa wamekaa kikundi cha waafrika akawaambia "Embu mchungeni ndugu yenu huyu",na yeye akaingia benki.


Wale waafrika wakachukia kuambiwa wana undugu na nyani wakamuua yule nyani. Aliporudi kumkuta nyani wake kafa akapanic kwa hasira na kuanza kuuliza aliyemuua nyani wake.


Wakamjibu "Hayo ni mambo ya kifamilia hayakuhusu". HA,HA,HA,HA!!!!!!
​
 
Kheee..! Wangemjibu amekufa kwa vita vya wenyewe au mizimu ya kiafrika.
 
Namlia WA KUSOMA, amekosa mengi humu na sikuku u hizi. Lawama ziwaendee waliomkorofisha wote mpaka akaamua kuomba bann mwenyewe.
 
Badili ya kumuuwa mzungu aliyewatukana wameenda kumuuwa ndugu yao? hao ndio kweli wajinga na mzungu hajakosea alipowaambia ndugu zao nyani.
 
Teh kweli ni ya kifamilia mzungu lazma adate
 
Namlia WA KUSOMA, amekosa mengi humu na sikuku u hizi. Lawama ziwaendee waliomkorofisha wote mpaka akaamua kuomba bann mwenyewe.

WA KUKARIRI bwana unatufurahisha sana,

Unajililia mwenyewe ndani ya jina lingine,

Mwe mwe mwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom