Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Haya mapinzani ya nchi hii ni ovyo na bure kabisa!Unaanzaje kupambana na mtu ambaye hata si mjumbe wa nyumba 10 km si UJUHA!Mmeanza inchi hii jamani
Sawa mwanaCCM mliyeifilisi nchi hii ndio wenye akiliHaya mapinzani ya nchi hii ni ovyo na bure kabisa!Unaanzaje kupambana na mtu ambaye hata si mjumbe wa nyumba 10 km si UJUHA!
Kwa hiyo?? Haruhusiwi kumpinga Lema?Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Kwani Mbowe kafoji vyeti, elimu yake ina tatizo lipi mkuu? Hata kama alifeli sasa kufeli ni kosa la jinai au?Nitashangaa nikiona chadema wanajibishana na jerry muro.
Halafu tukirudi suala la elimu mtajitafutia maswali wenyewe sababu jamaa atahoji elimu ya mwenyekiti wenu pia
Hapana...ni aibuKwahiyo kuwa msukuma imekuwa ni hoja?
Mtaka nyingi nasaba,,,Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
mkuu simpendi jery muro kwa mambo yake ila mkuu jeri muro kwao ni lyamungo, juu ya kijiweni, unapita kanisa la lyamungo kati, unapita kwa mzee kimati, ukuta wa mzee isaac muro ndugu zao ndo umeshikana na kwa akina jery, napajua tangu anakuwaHabari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu