MKINGUZI
Member
- Apr 17, 2015
- 40
- 85
- Thread starter
- #141
Wewe nae bado kichwa ngumu ndugu yangu, kweli you believe kuwa hivyo ndo Mambo yanavyofanyika. Hata Kama ungekua ww unataka kuharibu kitu at same time unataka kulinda reputation yako Unaweza kufanya matukio Kama hayo, mbona ni logic ya kawaida zana na maswali simple Sana yanakuonesha a bit of a pictureTanzania hakuna Amani bali Tanzania ni kisiwa cha Uvumilivu tu hakuna Amani kabsa cheki Zanzibar na baadhi ya sehemu za Tanganyika kuna Polisiccm wameua wamejeruhi watu ni uvunjifu wa Amani huo lakini watu wanaendelea kuvulia