technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,563
- 57,888
Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ??
Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa?
Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa?
Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?