Ndugu yangu kaoa kahaba? Tumshauri basi

Ndugu yangu kaoa kahaba? Tumshauri basi

Daah.. ndefuuu wazee wa ufupisho hebu niambieni nini kilijili...
 
Ndefu ila kila mistari minne dada kaliwa.aisee wadada ni vitu vya ajabu sana.Ila mi ata vya kumshauri vimeisha
 
Andika kwa kiingereza please.maana naona hujui kabisa kuandika mpaka unakata stimu ya kusoma.
 
😂😂😂😂
Mkaa hupo 🙆🙆
Yaaaani huwa nasoma kisha nabaki na butwaa..... na wakati mara nyingi wanaoandika kwa makosa hivi sehemu mbalimbali ukibahatika kukutana na mmoja wapo ukamuuliza kiwango chake cha elimu atakwambia ni form IV, Diploma n.k. Kwa kweli huwa siamini mtu aliyehitimu kidato cha nne akaandika makosa makubwa hivyo. Binafsi nikiwa darasa la tano sikuwa nikiandika makosa ya hivyo kwenye kiswahili. tunayo kazi kubwa sana kuwafunza vijana wetu uandishi fasaha wa lugha zetu kwa kweli.... Wengi wanashindwa kutofautisha kwa mf. AKILI na HAKILI wanayachanganya hadi uzeeni mwao.
 
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho ila huyo dada kuchezea konga kote hukooo sijaona kama aliachwa naathari yoyote (single mother) wakina dada wajf mlifeli wapi mpaka mkaachwa masingle mother? Au huyu mwenzenu alikuwa mgumba?
 
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho ila huyo dada kuchezea konga kote hukooo sijaona kama aliachwa athari yoyote (single mother) wakina dada wajf mlifeli wapi mpaka mkaachwa masingle mother? Au huyu mwenzenu alikuwa mgumba?
Elimu Elimu Elimu
 
Mke mwema kabisa huyo ,mwambie dogo ambadilishie laini maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom