BABU KIDUDE
Jamii forum ilikuwa zamani ila kwa sasa ni kazi bure. Hii forum kipindi cha nyuma ilikuwa ina watu waelewa na wenye kujitambua japokuwa wapo ila kwasasa ni wachache sana. Kama una masuala yako yanayohitaji ushauri bora ukayamaliza nje ya jamii forum kuliko humu maana watu badala ya kujadili mada yako wanaanza kujadili uandishi wako japokuwa umewaomba radhi kwa uandishi. Hii forum ishavamiwa na watoto na siyo salama tena kwa masuala nyeti kama ya kwako.
Huyo mwanamke bado anampenda jamaa ila shida bado anatabia ya huruma na jinsi mlolongo wa wanaume wanaomfuatilia lazima wamtafune kama ataendelea na kazi. Kama ikiwezekana jamaa amtafutie kazi ya kujiajiri tofauti na hapo hao jamaa lazima wamtafune tu na wala haiepukiki kuliwa.