akajitolee TRA bila malipo itamsaidia yeye kuwa recruited kirahisi endapo job opportunity zikitokea...ila ajitahidi akajitolee TRA za mikoa ambayo haijakomaa kibiashara hizi za dar,arusha,mwanza, na mikoa mingine bila ndumba na connection kubwa hatoboi...Naomba Msaada Ndugu Afanyaje.
Unamaanisha Nini NduGu.Wakati mwingine watu wanavyowezania kwa nje kumbe ndani siyo uhalisia!
Sawa.NitaMshauri piaMwambie asome CPA(T) kisha anione
Sawa Asante Ndugu.Vipi hizo ndumba zinakuwa Vipi?akajitolee TRA bila malipo itamsaidia yeye kuwa recruited kirahisi endapo job opportunity zikitokea...ila ajitahidi akajitolee TRA za mikoa ambayo haijakomaa kibiashara hizi za dar,arusha,mwanza, na mikoa mingine bila ndumba na connection kubwa hatoboi...
Alichoomba Yeyw ni Kazi NduguAna uwezo wa kuzalisha nini kutoka na GPA yake? Mfano 'carpenter' anaweza kututengenezea 'furniture',fundi magari anaweza kututengenezea gari likatembea, daktari wa moyo anaweza kumtibu mgonjwa wa moyo akapona, 'Software developer' anaweza kututengenezea 'software' kutokana na uitaji wetu.
Anataka Kuomba."ANATAKA KAZI"...kwani kaiweka????
ASANTE kwa Taarifa Ndugu,Wameanza lini Zoezi na Mwisho Wake Ni Lini,?Mwambie aombe wametangaza
Asante kwa taarifa NduguKaribu kila mhitimu ana ndoto ya kuajiriwa TRA,
Waghitimu wengi sana wapo mtaani huku wakiendelea kuomba kazi.
Enzi za kusoma sana ili uwe na uhajika wa juajiriwa sehen flani zimepita, siku hizi ajira ni bahati, connections, n.k.
Hapo TRA kujitolea tu kupata uzoefu ni ishu sana.
Namshauri ajiajiri huku anaendelea kutafuta ajira.
Wameanza 1/06/2021 na zoezi litaisha 14/06/2021ASANTE kwa Taarifa Ndugu,Wameanza lini Zoezi na Mwisho Wake Ni Lini,?
Mkuu hii uko serious nikucheck?Ana shs.ngapi kwani aingizwe hata kesho bila hata intavyuu?