Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,808
Nyumba mpe ila mengine ajitegemee.
Poleni na kazi wakuu!
Nimebahatika kuwa na mji wa kawaida wenye apartment. sasa kuna ndugu yangu naishi naye anampango wa kuoa mwakani ameniomba aishi hapa hapa kwenye moja ya apartment hata baada ya kuoa. sasa wakuu hii ipo sawa?
Ndoa bwana[emoji23] waliachana kitambo[emoji125][emoji125]Wakuu nashukuru kwa mawazo yenu Alisha oa na yupo kwake (amejenga) maana nilimtoa nduki hato sahau!
Ajiandae kupigwa albadili na jini mkata kamba ili apartment yote iwe yakeTunasubiri mrejesho..
ila kwa uzoefu inaonyesha.. ..mnachokitafuta mtakipata baada ya yeye kuleta jiko..
Sent using Jamii Forums mobile app