Habar wadau kunandugu yangu anatafuta mtu wa kufanyanae kazi kwani kufikia mwezi wa kwanza mwakani anafungua Duka la madawa. Ni PM alafu tutapeana direction.
SIFA
1.Awe mwaminifu
2.Awe na cheti cha ADO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.