Ndugu wanasema Ndugai alikuwa mzima tu

Ndugu wanasema Ndugai alikuwa mzima tu

Kifo kifo so what’s?
Kazi ni kipimo cha utu
Sorry kwani anakufa alie kufa?
 
Tumezungumza na binamu wa marehemu, Anderson Sangara (mtoto wa mjomba wa marehemu), amesema kuwa kwa siku za karibuni marehemu hakuwa na changamoto yoyote ya kiafya,
Labda suala la kumwaga oil ni moja ya vyanzo
 
Kwahiyo unasema wanasema alikuwa mzima tu! Kwan waliokufa wanakufa tena!?

Waambie ndugu wa ndugai kuwa WAZIMA NDIO WANAKUFA
 
Anaumwa Figo mda mrefuuuu tu
Embu msimkosee Allah
Kazi ya Mungu Hainamakosaa
Hapa nawaonea huruma watoto kuingia vita ya mgaoo WA mali

Kama hajaandika wosia
Mke si yupo alikuwaga dc some where siyo ,akisimama imara mali zitakuwa salama

Ova
 
Hakuna atakayesalia juu ya jua,uwe mbeba vyuma,uwe tajiri namba moja au hata kiongozi mkuu mwisho wake utaondoka tena peke yako.Tujifunze kufanya matendo mema sisi walimwengu.
 
Anatufanya watanganyika hatuna akili. Yaani uwe na ngwegwe, sukari, pressure plus tatizo la figo useme alikuwa mzima tu.

Anyway kifo ni kifo tu.
Are you his personal doctor or something?

Where is the proof of that? Let's see.
 
Wazuri hawafiiii ila mzee makamba"" kifo ni kifo TUUU hatujakataa hata na ww wamekutabiria mengi sanaaa MUNGU AKUSAIDUE
 
Back
Top Bottom