Ndugu wanasema Ndugai alikuwa mzima tu

Ndugu wanasema Ndugai alikuwa mzima tu

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Waombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma.

Soma pia: Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Tumezungumza na binamu wa marehemu, Anderson Sangara (mtoto wa mjomba wa marehemu), amesema kuwa kwa siku za karibuni marehemu hakuwa na changamoto yoyote ya kiafya, isipokuwa alikuwa akijisikia kuumwa mafua tu.
asa kugawa chakula kwa wananchi, wakiwa mamevaa na sare za chama na kutoa hotuba za kisiasa, huku wakidai ni shughuli ya kijamii. Wakati huu si wa kampeni, lakini chama kinatoa ujumbe wa kisiasa unaowahamasisha wananchi kuwachagua, jambo linalozua mashaka kuhusu nia halisi ya tukio hilo.

Chanzo: Jambo tv
 
View attachment 3434894

Tumezungumza na binamu wa marehemu, Anderson Sangara (mtoto wa mjomba wa marehemu), amesema kuwa kwa siku za kkwahiyoaribuni marehemu hakuwa na changamoto yoyote ya kiafya, isipokuwa alikuwa akijisikia kuumwa mafua tu.
asa kugawa chakula kwa wananchi, wakiwa mamevaa na sare za chama na kutoa hotuba za kisiasa, huku wakidai ni shughuli ya kijamii. Wakati huu si wa kampeni, lakini chama kinatoa ujumbe wa kisiasa unaowahamasisha wananchi kuwachagua, jambo linalozua mashaka kuhusu nia halisi ya tukio hilo.

Chanzo: Jambo tv
Kwani kuna binadamu yeyote aliyewahi kufa akiwa marehemu? Ili ufe lazima uwe mzima.... Eboh!
 
Kwahiyo mafua/Flu sio ugonjwa?
hujui kua Flu ni viral infection ambayo huathiri mpaka Lungs? huathiri respiratory system,

Flu inaweza kukuletea serious complications,kama vile Pneumonia na kuweza kusababisha kifo.
 
Waombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma.

View attachment 3434894

Soma pia: Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Tumezungumza na binamu wa marehemu, Anderson Sangara (mtoto wa mjomba wa marehemu), amesema kuwa kwa siku za karibuni marehemu hakuwa na changamoto yoyote ya kiafya, isipokuwa alikuwa akijisikia kuumwa mafua tu.
asa kugawa chakula kwa wananchi, wakiwa mamevaa na sare za chama na kutoa hotuba za kisiasa, huku wakidai ni shughuli ya kijamii. Wakati huu si wa kampeni, lakini chama kinatoa ujumbe wa kisiasa unaowahamasisha wananchi kuwachagua, jambo linalozua mashaka kuhusu nia halisi ya tukio hilo.

Chanzo: Jambo tv
Umecopy unapaste bila kusoma!!!??? Soma ulichopost uone mashudu uliyotuwekea!
Ukisikia habari mchanganyiko ndo hii sasa!!! Habari mbili tofauti ndani ya uzi mmoja!
 
Waombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma.

View attachment 3434894

Soma pia: Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Tumezungumza na binamu wa marehemu, Anderson Sangara (mtoto wa mjomba wa marehemu), amesema kuwa kwa siku za karibuni marehemu hakuwa na changamoto yoyote ya kiafya, isipokuwa alikuwa akijisikia kuumwa mafua tu.
asa kugawa chakula kwa wananchi, wakiwa mamevaa na sare za chama na kutoa hotuba za kisiasa, huku wakidai ni shughuli ya kijamii. Wakati huu si wa kampeni, lakini chama kinatoa ujumbe wa kisiasa unaowahamasisha wananchi kuwachagua, jambo linalozua mashaka kuhusu nia halisi ya tukio hilo.

Chanzo: Jambo tv
Shetani Hana Rafiki
 
Anatufanya watanganyika hatuna akili. Yaani uwe na ngwegwe, sukari, pressure plus tatizo la figo useme alikuwa mzima tu.

Anyway kifo ni kifo tu.
 
Anaumwa Figo mda mrefuuuu tu
Hapo hatujui
Maini
kisukari
pressure ...nk
Kama vilimuacha salamaa
Embu msimkosee Allah
Kazi ya Mungu Hainamakosaa
Hapa nawaonea huruma watoto kuingia vita ya mgaoo WA mali

Kama hajaandika wosia
 
Waombolezaji wanaendelea kuwasili msibani kwa aliyekuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai, nyumbani kwake Njedengwa Jijini Dodoma.

View attachment 3434894

Soma pia: Rais Samia asikitishwa sana na Kifo Cha Ndugai. Aomba Watanzania kumuombea kwa Mungu

Tumezungumza na binamu wa marehemu, Anderson Sangara (mtoto wa mjomba wa marehemu), amesema kuwa kwa siku za karibuni marehemu hakuwa na changamoto yoyote ya kiafya, isipokuwa alikuwa akijisikia kuumwa mafua tu.
asa kugawa chakula kwa wananchi, wakiwa mamevaa na sare za chama na kutoa hotuba za kisiasa, huku wakidai ni shughuli ya kijamii. Wakati huu si wa kampeni, lakini chama kinatoa ujumbe wa kisiasa unaowahamasisha wananchi kuwachagua, jambo linalozua mashaka kuhusu nia halisi ya tukio hilo.

Chanzo: Jambo tv
Sasa njni kilimpeleka hospitali ?
 
Back
Top Bottom