Ndugu wa Aquilina Akwilini wakabidhi bajeti ya TZS 80m kwa Serikali shughuli ya mazishi

Nawaza kama serikali watasema tulisema tutagharamia nyie endeleeni na matanga then mambo yanakuwa
Jeneza 200,000
Malipo Hospitali (Serikali inasamehe)
Gari la kubeba mwili (la Serikali)
Magari ya Msafara (ya magereza)
Tent (za Lugalo pale)
Shooting (camera za Dr Abbas)
MC Gerson Msigwa
Viti (vya ukumbi wa Police Officers)

Tena kwa Serikali hii, utaambiwa tunatumia Force Account na sio mzabuni

Akwelina umetuachia mapya, nenda salama
 
Wapewe 100 kabisa bila longolongo, kikubwa wabaki na pesa ya kuendeshea maisha yao
 
Kila kitu kitokeacho aidha kiwe kizuri ama kibaya namuna gani kwao wshkaji aaah ni FURSA tu.
Ngoja vyuma vilegee
 
Kuna mengi yatasemwa ila ukweli ni kuwa Tanzania kuna tatizo kubwa la maadili miongoni msa wananchi wake. Thamani ya nyumba wanakofanyia shughuli ya msiba haifiki hata shs milioni 20; bajeti ya mazishi shs milioni 80; halafu watu wanaleta hoja legelege kuwa kukodisha coaster moja kutoka DSM kwenda Kilimanjaro ni shs millioni 4 wakati haizidi laki 6! Nyie watu wa KLM kuweni na aibu. Watu wanaleta hoja za hovyo eti kuna watu maafufu watakwenda kwenye msiba ndio maana chakula kimetengewa shs milioni 6 kila siku kwa siku tano, jumla shs milioni 30! Nyie watu. Watu maarufu gani wanakwenda kula msibani, tena kijijini? Mungu anawaona kwa kukosa hata mshipa wa aibu!
 
Hizo gharama ni reasonable kwa sababu watakuja watu wengi kumzika watu maarufu,viongozi mbalimbali na taasisi mbalimbali... In fact hatazikwa kama mtu wa kawaida kwa sababu ya umaarufu wa marehemu.
Itakuwajee wakitumiaa gharama zao kamaa sehemu ya kuguswa na msibaa
 
Ni mara ya kwanza kuona mtu akishikuru ndugu yake kuuwawa bila kulipwa fidia yoyote ama aliyemua kuchukuliwa hatua za kisheria.
 
Sasa naona sababu ya kususa serikali itokane na hilo maana hakuna aliyewatuma kufanya hayo ya kuuwa mwanetu
 
Sasa nashangaa na hii serikali kuleta Masai huku tuwalipie au tuwasaidie nini
 
Back
Top Bottom