HUYU PENA SIKU ZOTE NI MNOKO MKUU HANA UJASIRI WA KUSIMAMA IMARA NA KUTETEA UTU WAKE.
Hakuna mtu mbaya kama anaekutwa na majanga afu anawachoma na wenzie pia.Watu kama hao ni wa kuwa mbali nao
Chadema mnateseka sana na msamaha wa Nape Nnauye!Usizunguke zunguke, mambo hatari kwa jamii yapaswa kuwekwa wazi ili kuiokoa na hatari.
Unataka kusema watu wakae mbali sana na mzee wa goli la mkono bwana Nnauye kwani ni INFORMER aliyetayari hata kuwatungia uongo wenzake ili tumbo lake la kitambi lisikose mlo?
Kwa hiyo hata wabunge wenzie pale bungeni wakiwa kantini wakimuona anakuja mezani wakimbie?
Pole sana mzee Membe kwa vijana wako kutoka kuwa sukari hadi kuwa ammonia sulphate
Hatari sana.ha ha ha ha ha kawa snich wenzake alafu alivyo hajui kuwa nae kakatwa mkia hata aminika kote kote
Hizi zote ni hisia,hakuna aliyekuwepo wala kusikia mazungumzo yao.Tuache kutenda dhambi za UzushiHabari Ndugu zanga wa JF?
Nadhani wote tunafahamu kuwa Ndugu PENA hivi majuzi tu alikuwa na Mazungumzo na Mzee Meko.
Dhana ya Mazungumzo ni kuomba Msamaha ( Wengi tulijulishwa Hilo).
Lakini kabla ya Ndugu PENA Kuna wengine pia walienda kuomba Msamaha.
Njia ya kuomba msamaha kwa Ndugu PENA ilikuwa ni mgumu mno kuipata mpaka pale alipoahidi kumnyetisha mambo nyeti Mzee Meko.
Alipokutana na Mzee Meko, Ndugu PENA alisema mengi ikiwamo mipango ya Siri iliyoratibiwa na watu wa Kundi Fulani ambalo lilidhamiria kumng'oa Mzee Meko.
Baada ya kuropoka yote kwa Mzee Meko PENA ALISAMEHEWA na KUAHIDIWA MAMBO KADHAA. Lakini pia Ndugu PENA amepewa jukumu zito la kusaka habari nyeti na kumpelekea Mzee Meko.
Hebu jiulize;
Kwa nini wale wengine wote walipomaliza kuomba msamaha hakuna impact iliyotoke.
Ila huyu siku chache tu baada ya kuzungumza na Mzee Meko tumeshuhudia mabadiliko makubwa tena mengine bado yanakuja.
ANGALIZO KWA WANA-SIASA
Ndugu PENA amekuwa MNOKO tena MNOKO kwa MAMBO NYETI.
Ndugu PENA msimuamini tena maana Sasa amekuwa INFORMER wa Mzee Meko.
Ndugu PENA Siri uliyofichua haitakuadhiri leo ila kesho usiyo ijua.
Nawasilisha.
Maajabu ni kuwa, huyo mnayesema ni baba yake Col. Moses Nnauye hakuwa mtu legelege bali shujaa wa kisiasa.HUYU PENA SIKU ZOTE NI MNOKO MKUU HANA UJASIRI WA KUSIMAMA IMARA NA KUTETEA UTU WAKE.
Hakuna mtu mbaya kama anaekutwa na majanga afu anawachoma na wenzie pia.Watu kama hao ni wa kuwa mbali nao
Hapa tunawatakia heri wabunge na viongozi wa ccm kuwa macho na mwiba walio nao. We huoni?Chadema mnateseka sana na msamaha wa Nape Nnauye!
Wahenga walishasema "adui yako muombee njaa tu" mengine yatajipaHabari Ndugu zanga wa JF?
Nadhani wote tunafahamu kuwa Ndugu PENA hivi majuzi tu alikuwa na Mazungumzo na Mzee Meko.
Dhana ya Mazungumzo ni kuomba Msamaha ( Wengi tulijulishwa Hilo).
Lakini kabla ya Ndugu PENA Kuna wengine pia walienda kuomba Msamaha.
Njia ya kuomba msamaha kwa Ndugu PENA ilikuwa ni mgumu mno kuipata mpaka pale alipoahidi kumnyetisha mambo nyeti Mzee Meko.
Alipokutana na Mzee Meko, Ndugu PENA alisema mengi ikiwamo mipango ya Siri iliyoratibiwa na watu wa Kundi Fulani ambalo lilidhamiria kumng'oa Mzee Meko.
Baada ya kuropoka yote kwa Mzee Meko PENA ALISAMEHEWA na KUAHIDIWA MAMBO KADHAA. Lakini pia Ndugu PENA amepewa jukumu zito la kusaka habari nyeti na kumpelekea Mzee Meko.
Hebu jiulize;
Kwa nini wale wengine wote walipomaliza kuomba msamaha hakuna impact iliyotoke.
Ila huyu siku chache tu baada ya kuzungumza na Mzee Meko tumeshuhudia mabadiliko makubwa tena mengine bado yanakuja.
ANGALIZO KWA WANA-SIASA
Ndugu PENA amekuwa MNOKO tena MNOKO kwa MAMBO NYETI.
Ndugu PENA msimuamini tena maana Sasa amekuwa INFORMER wa Mzee Meko.
Ndugu PENA Siri uliyofichua haitakuadhiri leo ila kesho usiyo ijua.
Nawasilisha.
As long as wanaccm waliotufikisha hapa wote kwa maslah yao ndio haoa hao wanaoparuana sisi inatuhusu nini kwa mfano.?Habari Ndugu zanga wa JF?
Nadhani wote tunafahamu kuwa Ndugu PENA hivi majuzi tu alikuwa na Mazungumzo na Mzee Meko.
Dhana ya Mazungumzo ni kuomba Msamaha ( Wengi tulijulishwa Hilo).
Lakini kabla ya Ndugu PENA Kuna wengine pia walienda kuomba Msamaha.
Njia ya kuomba msamaha kwa Ndugu PENA ilikuwa ni mgumu mno kuipata mpaka pale alipoahidi kumnyetisha mambo nyeti Mzee Meko.
Alipokutana na Mzee Meko, Ndugu PENA alisema mengi ikiwamo mipango ya Siri iliyoratibiwa na watu wa Kundi Fulani ambalo lilidhamiria kumng'oa Mzee Meko.
Baada ya kuropoka yote kwa Mzee Meko PENA ALISAMEHEWA na KUAHIDIWA MAMBO KADHAA. Lakini pia Ndugu PENA amepewa jukumu zito la kusaka habari nyeti na kumpelekea Mzee Meko.
Hebu jiulize;
Kwa nini wale wengine wote walipomaliza kuomba msamaha hakuna impact iliyotoke.
Ila huyu siku chache tu baada ya kuzungumza na Mzee Meko tumeshuhudia mabadiliko makubwa tena mengine bado yanakuja.
ANGALIZO KWA WANA-SIASA
Ndugu PENA amekuwa MNOKO tena MNOKO kwa MAMBO NYETI.
Ndugu PENA msimuamini tena maana Sasa amekuwa INFORMER wa Mzee Meko.
Ndugu PENA Siri uliyofichua haitakuadhiri leo ila kesho usiyo ijua.
Nawasilisha.
Chadema iitakie mema CCM?..... Labda kinyume chake!Hapa tunawatakia heri wabunge na viongozi wa ccm kuwa macho na mwiba walio nao. We huoni?
Habari Ndugu zanga wa JF?
Nadhani wote tunafahamu kuwa Ndugu PENA hivi majuzi tu alikuwa na Mazungumzo na Mzee Meko.
Dhana ya Mazungumzo ni kuomba Msamaha ( Wengi tulijulishwa Hilo).
Lakini kabla ya Ndugu PENA Kuna wengine pia walienda kuomba Msamaha.
Njia ya kuomba msamaha kwa Ndugu PENA ilikuwa ni mgumu mno kuipata mpaka pale alipoahidi kumnyetisha mambo nyeti Mzee Meko.
Alipokutana na Mzee Meko, Ndugu PENA alisema mengi ikiwamo mipango ya Siri iliyoratibiwa na watu wa Kundi Fulani ambalo lilidhamiria kumng'oa Mzee Meko.
Baada ya kuropoka yote kwa Mzee Meko PENA ALISAMEHEWA na KUAHIDIWA MAMBO KADHAA. Lakini pia Ndugu PENA amepewa jukumu zito la kusaka habari nyeti na kumpelekea Mzee Meko.
Hebu jiulize;
Kwa nini wale wengine wote walipomaliza kuomba msamaha hakuna impact iliyotoke.
Ila huyu siku chache tu baada ya kuzungumza na Mzee Meko tumeshuhudia mabadiliko makubwa tena mengine bado yanakuja.
ANGALIZO KWA WANA-SIASA
Ndugu PENA amekuwa MNOKO tena MNOKO kwa MAMBO NYETI.
Ndugu PENA msimuamini tena maana Sasa amekuwa INFORMER wa Mzee Meko.
Ndugu PENA Siri uliyofichua haitakuadhiri leo ila kesho usiyo ijua.
Nawasilisha.
Snitch.HUYU PENA SIKU ZOTE NI MNOKO MKUU HANA UJASIRI WA KUSIMAMA IMARA NA KUTETEA UTU WAKE.