Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,700
- 19,884
Visanga vyote hivyo Bado tu Halmashauri ya kichwa chako unaomba ushauri!?? .... Huyo mwanamke ni kiboko ..ndio alikutoa ujana wako au kakuroga!?? Visa vyote hivyo bado unataka kwenda kuomba msamaha!??..... La msingi ni elimu ya watoto tu .... Na ole wako umuachie hao watoto hutoamini....Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2.
Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya ndani TV,pasi ya umeme, laptop,redio,baadhi ya vitambulisho vyangu,simu,blenda,Kadi ya benki,,,shs.477000 Kaitoa benki mana Anajua password.Kaondoka na watot pia!
Sababu za kutofika kwao
1.Umbali kikazi ulichangia mana
nilikuwa busy na uhamisho na mim pia kwetu sijaenda tangu 2017 Hadi 2021 kwa ajil ya Mazish
2.Huwa hatuelewani kwa Muda mrefu Katika mahusiano yetu mana Ana kiburi,madharau,akinikosea hajawahi kuomba msamah mpaka nitakapojirudi mwenyewe,,,hivyo nikawa na hofu kwamba itakuwaje Kama tutafunga ndoa Kama ktk Hali ya sasa yupo hivyo??
3. Hata akinikera hawezi kujishusha yupo tayari kupigana na tulishapigana akanipeleka ofisi ya kata tukashauriwa Lakini hakuna mabadiliko
4.Ana Tabia ya kunipekua,,,kuna siku nilitegesha pesa chini ya meza akaichukua afu nikamwambia kuna pesa nimeangusha chumban Kama aliiona akakataaa katu Lakini mwishow amekubali
5.Huwa tunakosana Sana mpaka nikaanza kunywa pombe,,,Mara pengin nashinda nje usiku Lakini Naona haimugusi wala ushaur hakuna
6.Siku aliponiibia pesa benki akajitetea nyumban kwao kuwa hakuna matumizi Jambo ambalo Halina ukwel,,,na wazazi wake wanamuunga mkono Hata nijieleze vipi
KILICHOTOKA SASA HIVI
1.Amekuwa akichukua kila pesa anayoiona kwangu,,,ndani Hata kweny akaunti ya mitandao yangu ya simu na kucheza nayo kamari
2.Amekuwa na madeni mengi ya nje hiyo pesa amepeka kweny kamari
3.Nimemshirikisha baba yake juu ya kuchukua pesa zangu kwa siri na madeni ya nje Lakini baba yake katulia tu
4.Tareh 10 kuchukua pesa iliyo ndani nilipomuuliza lawama hajui baadaye kakubali,,tarehe 11 kachukua pesa
nyingin nikaumia Sana nikampigia usiku baba yake akaniambia nimpandishe kwenye gari na watot wake,,,mim nikaenda kunywa pombe asubuh nikamtaka aondoka na Arudishe pesa zangu,,,,,tukalumbana Sana mpaka nikachukua kisu mwishowe ameondoka na watot.
KESI HUKO KWAO
Ninahitajika kwenda KWAO nikajieleze na kuomba msamah kuwa nimemfukuza pamoja na watot,,,kumbuk watot wanatakiwa kwenda shule kesho
Naombeni ushaur jaman,,,,akili haifanyi Kazi mana Nataka tuachane Lakini nafsi inakataa Sababu Nina watot Naye,,,nyumbani wanajua nimeoa hata kazin pia,,,,,,NAONA AIBU
Kuna wengine hawanyoosheki, angemuacha mapema.Kosa ulilifanya tangu zamani, ulimlea lea sana. Ungemnyoosha tangu zamani.
Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2.
Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya ndani TV,pasi ya umeme, laptop,redio,baadhi ya vitambulisho vyangu,simu,blenda,Kadi ya benki,,,shs.477000 Kaitoa benki mana Anajua password.Kaondoka na watot pia!
Sababu za kutofika kwao
1.Umbali kikazi ulichangia mana
nilikuwa busy na uhamisho na mim pia kwetu sijaenda tangu 2017 Hadi 2021 kwa ajil ya Mazish
2.Huwa hatuelewani kwa Muda mrefu Katika mahusiano yetu mana Ana kiburi,madharau,akinikosea hajawahi kuomba msamah mpaka nitakapojirudi mwenyewe,,,hivyo nikawa na hofu kwamba itakuwaje Kama tutafunga ndoa Kama ktk Hali ya sasa yupo hivyo??
3. Hata akinikera hawezi kujishusha yupo tayari kupigana na tulishapigana akanipeleka ofisi ya kata tukashauriwa Lakini hakuna mabadiliko
4.Ana Tabia ya kunipekua,,,kuna siku nilitegesha pesa chini ya meza akaichukua afu nikamwambia kuna pesa nimeangusha chumban Kama aliiona akakataaa katu Lakini mwishow amekubali
5.Huwa tunakosana Sana mpaka nikaanza kunywa pombe,,,Mara pengin nashinda nje usiku Lakini Naona haimugusi wala ushaur hakuna
6.Siku aliponiibia pesa benki akajitetea nyumban kwao kuwa hakuna matumizi Jambo ambalo Halina ukwel,,,na wazazi wake wanamuunga mkono Hata nijieleze vipi
KILICHOTOKA SASA HIVI
1.Amekuwa akichukua kila pesa anayoiona kwangu,,,ndani Hata kweny akaunti ya mitandao yangu ya simu na kucheza nayo kamari
2.Amekuwa na madeni mengi ya nje hiyo pesa amepeka kweny kamari
3.Nimemshirikisha baba yake juu ya kuchukua pesa zangu kwa siri na madeni ya nje Lakini baba yake katulia tu
4.Tareh 10 kuchukua pesa iliyo ndani nilipomuuliza lawama hajui baadaye kakubali,,tarehe 11 kachukua pesa
nyingin nikaumia Sana nikampigia usiku baba yake akaniambia nimpandishe kwenye gari na watot wake,,,mim nikaenda kunywa pombe asubuh nikamtaka aondoka na Arudishe pesa zangu,,,,,tukalumbana Sana mpaka nikachukua kisu mwishowe ameondoka na watot.
KESI HUKO KWAO
Ninahitajika kwenda KWAO nikajieleze na kuomba msamah kuwa nimemfukuza pamoja na watot,,,kumbuk watot wanatakiwa kwenda shule kesho
Naombeni ushaur jaman,,,,akili haifanyi Kazi mana Nataka tuachane Lakini nafsi inakataa Sababu Nina watot Naye,,,nyumbani wanajua nimeoa hata kazin pia,,,,,,
Fanya unicheck private nikushauri jamboMimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2.
Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya ndani TV,pasi ya umeme, laptop,redio,baadhi ya vitambulisho vyangu,simu,blenda,Kadi ya benki,,,shs.477000 Kaitoa benki mana Anajua password.Kaondoka na watot pia!
Sababu za kutofika kwao
1.Umbali kikazi ulichangia mana
nilikuwa busy na uhamisho na mim pia kwetu sijaenda tangu 2017 Hadi 2021 kwa ajil ya Mazish
2.Huwa hatuelewani kwa Muda mrefu Katika mahusiano yetu mana Ana kiburi,madharau,akinikosea hajawahi kuomba msamah mpaka nitakapojirudi mwenyewe,,,hivyo nikawa na hofu kwamba itakuwaje Kama tutafunga ndoa Kama ktk Hali ya sasa yupo hivyo??
3. Hata akinikera hawezi kujishusha yupo tayari kupigana na tulishapigana akanipeleka ofisi ya kata tukashauriwa Lakini hakuna mabadiliko
4.Ana Tabia ya kunipekua,,,kuna siku nilitegesha pesa chini ya meza akaichukua afu nikamwambia kuna pesa nimeangusha chumban Kama aliiona akakataaa katu Lakini mwishow amekubali
5.Huwa tunakosana Sana mpaka nikaanza kunywa pombe,,,Mara pengin nashinda nje usiku Lakini Naona haimugusi wala ushaur hakuna
6.Siku aliponiibia pesa benki akajitetea nyumban kwao kuwa hakuna matumizi Jambo ambalo Halina ukwel,,,na wazazi wake wanamuunga mkono Hata nijieleze vipi
KILICHOTOKA SASA HIVI
1.Amekuwa akichukua kila pesa anayoiona kwangu,,,ndani Hata kweny akaunti ya mitandao yangu ya simu na kucheza nayo kamari
2.Amekuwa na madeni mengi ya nje hiyo pesa amepeka kweny kamari
3.Nimemshirikisha baba yake juu ya kuchukua pesa zangu kwa siri na madeni ya nje Lakini baba yake katulia tu
4.Tareh 10 kuchukua pesa iliyo ndani nilipomuuliza lawama hajui baadaye kakubali,,tarehe 11 kachukua pesa
nyingin nikaumia Sana nikampigia usiku baba yake akaniambia nimpandishe kwenye gari na watot wake,,,mim nikaenda kunywa pombe asubuh nikamtaka aondoka na Arudishe pesa zangu,,,,,tukalumbana Sana mpaka nikachukua kisu mwishowe ameondoka na watot.
KESI HUKO KWAO
Ninahitajika kwenda KWAO nikajieleze na kuomba msamah kuwa nimemfukuza pamoja na watot,,,kumbuk watot wanatakiwa kwenda shule kesho
Naombeni ushaur jaman,,,,akili haifanyi Kazi mana Nataka tuachane Lakini nafsi inakataa Sababu Nina watot Naye,,,nyumbani wanajua nimeoa hata kazin pia,,,,,,NAONA AIBU
Hatimaye umeandika!Demu anaiba pesa anaenda kubet ebhanaeeeeee
Umezaa na demu mkamaria
Changamoto zote izo bado ukafyatua watt 4 itakuwa ana joto sana huyo
Hahaha!Kweli kabisa mwanaume na mji wako, mwenye maamuzi kamili unakubali kwenda kuamuliwa kesi yako na mke wako ukweni!!!!!!!!!!!😎😎😎😎
Acha mara moja kuhudhuria hicho kikao. Kama wanataka kikao cha wazazi nendeni kwa wazazi wako.
Lakini mpaka hapo.
1. Unalo jibu lakini hautaki tu kichukua hatua
2. Ngoja watoto wakue ukiwa na huyo mke utajuta kumfahamu.
3. Jifunze kufanya maamuzi, kweli yaweza kuwa haujui kusoma, lakini je hata picha kuitafsiri?
Anampaje talaka na hajamuoa !?? .... Ni kumuacha tu kama walivyovutana kama Bluetooth....Ushauri wangu. Hapo hakuna ndoa. Umefikia kiwango cha kumshikia kisu umchome!!! Ipo siku kama hata kuchoma basi wewe utamchoma kisu.
Cha kufanya mpe talaka. Bora uvunje uanze upya kuliko kuendelea naye.
Masingle mothers wapo ambao waliteleza... mtafute mmoja wao akuongezee heshima kwenye mtaa unaoishi...na malaika pia watakuwa pamoja nawe
Usharogwa na kazi unayo utapoteza Kila kitu utakuwa ombaombaMimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2.
Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya ndani TV,pasi ya umeme, laptop,redio,baadhi ya vitambulisho vyangu,simu,blenda,Kadi ya benki,,,shs.477000 Kaitoa benki mana Anajua password.Kaondoka na watot pia!
Sababu za kutofika kwao
1.Umbali kikazi ulichangia mana
nilikuwa busy na uhamisho na mim pia kwetu sijaenda tangu 2017 Hadi 2021 kwa ajil ya Mazish
2.Huwa hatuelewani kwa Muda mrefu Katika mahusiano yetu mana Ana kiburi,madharau,akinikosea hajawahi kuomba msamah mpaka nitakapojirudi mwenyewe,,,hivyo nikawa na hofu kwamba itakuwaje Kama tutafunga ndoa Kama ktk Hali ya sasa yupo hivyo??
3. Hata akinikera hawezi kujishusha yupo tayari kupigana na tulishapigana akanipeleka ofisi ya kata tukashauriwa Lakini hakuna mabadiliko
4.Ana Tabia ya kunipekua,,,kuna siku nilitegesha pesa chini ya meza akaichukua afu nikamwambia kuna pesa nimeangusha chumban Kama aliiona akakataaa katu Lakini mwishow amekubali
5.Huwa tunakosana Sana mpaka nikaanza kunywa pombe,,,Mara pengin nashinda nje usiku Lakini Naona haimugusi wala ushaur hakuna
6.Siku aliponiibia pesa benki akajitetea nyumban kwao kuwa hakuna matumizi Jambo ambalo Halina ukwel,,,na wazazi wake wanamuunga mkono Hata nijieleze vipi
KILICHOTOKA SASA HIVI
1.Amekuwa akichukua kila pesa anayoiona kwangu,,,ndani Hata kweny akaunti ya mitandao yangu ya simu na kucheza nayo kamari
2.Amekuwa na madeni mengi ya nje hiyo pesa amepeka kweny kamari
3.Nimemshirikisha baba yake juu ya kuchukua pesa zangu kwa siri na madeni ya nje Lakini baba yake katulia tu
4.Tareh 10 kuchukua pesa iliyo ndani nilipomuuliza lawama hajui baadaye kakubali,,tarehe 11 kachukua pesa
nyingin nikaumia Sana nikampigia usiku baba yake akaniambia nimpandishe kwenye gari na watot wake,,,mim nikaenda kunywa pombe asubuh nikamtaka aondoka na Arudishe pesa zangu,,,,,tukalumbana Sana mpaka nikachukua kisu mwishowe ameondoka na watot.
KESI HUKO KWAO
Ninahitajika kwenda KWAO nikajieleze na kuomba msamah kuwa nimemfukuza pamoja na watot,,,kumbuk watot wanatakiwa kwenda shule kesho
Naombeni ushaur jaman,,,,akili haifanyi Kazi mana Nataka tuachane Lakini nafsi inakataa Sababu Nina watot Naye,,,nyumbani wanajua nimeoa hata kazin pia,,,,,,NAONA AIBU
Kila mwanamke huzaliwa na bikra,. Na BILA shaka bikra Haina uhusiano na tabia ya mtu. Yani kiburi,. Ubishi, wizi haviwezi kupimwa Kwa bikra! Pole yake na aangalie lilaloridhisha zaidi moyo wake zaidNa kumkuta kote na bkra bado anakufanyia vtimbwiii hvyooo pole mkuu ..
Wajifunze kuna kuoa na kuna kukurupuka ohoo,
Kati ya wanaume mafala wewe ni mama yaoMimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2.