Yakoje hayo?Wengine tulisha zowea mambo za shake well before use...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Andiko linakataza ndugu wa kuzaliwa na baba au mama mmoja,Mila zetu zinakataza hata wa kuzaliwa kwa baba mkubwa au mama mkubwaMambo ya walawi : Mlango 18
9 Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.
Kuna jamaa yangu aliwahi kumkuta mkewe hamna kitu zaidi ya kitobo ambacho hata kidole hakipenyi, hii yote ni kwasababu ya kutofanya majaribio kabla ya kufunga ndoa
na picha pia maana stori hii inanoga na pichaTupe story kamili ilikuaje
[emoji375][emoji375]
[emoji23][emoji23][emoji23]daahKuna mtoto wa binamu aninichokoza chokoza na bambataa lake! Udenda umenitoka hadi nahisi kukaukiwa maji mwilini! Ina maana nimpotezee tu hivihivi?
mm sijakuelewa kabisa maana haujafafanua vzr hapo..Kuna jamaa yangu aliwahi kumkuta mkewe hamna kitu zaidi ya kitobo ambacho hata kidole hakipenyi, hii yote ni kwasababu ya kutofanya majaribio kabla ya kufunga ndoa
Kweli?Sodoma na gomola part 2 inakaribia kuja isubilini tu soon inakuja alafu mtaisoma no
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka saba+++duuuuuu!!!!
Mkuu, ebu vumilia watakuja wajuvi wa lugha wakufafanulie.
Kama wapenzi,na mkipata upenyo tu ....Nikiwa kama mkristu ninajitahidi kukaa mbali na zinaa hiki linaniepusha na mengi sana.
Ndugu swe binamu mlikutana kwenys shughuli za familia mtaangalisns vipi?
Mara zote ukianzisha wewe mwanaume huwezi kufanikiwa,wanaanzisha wao dada binamu zetukuna ule undugi wa mbali sana, sasa hawa ndugu wa hivi huwa wapenda sana hivi vimichezo yaani mimi hua wananichanganya sana!!
Na mara nyingi jinsia ya kiume hua tunaoneka wakosaji, hata kama alieanzishi kamchezo ni wa kike[emoji35][emoji35][emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndugu wa namna gani? Dada wa kuzaliwa tumbo moja ama kinyume chake? Kama unazungumziwa ma binamu ushindwe na ulegee, yaani binamu ni heri ukamtoa lock mwenyewe kabla hajakutana na machizi kichizi